Recent content by Upside Down

  1. Upside Down

    Serikali iangalie huduma ya mazishi kwa wasiosali/wasioamini dini

    Kweli aisee kuna haja pia ya kuwa na zile huduma za kichoma moto za Public wengine tunatamani kuchomwa moto tukifa
  2. Upside Down

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jobless tunachakujifunza toka kwa wafanya biashara tuacheni kulia tuu kwenye forum ifikie hatua tuchukueni hatua, mabadiliko ya kweli yatakuja.
  3. Upside Down

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimeota hivi karibuni PSRS itakuwa chombo cha kutenda haki, maboresho yote tunayodai ikiwapo uwazi wa Data base yatafanyiwa kazi hii ni baada ya msaka ajira mmoja, kwenda jimwagia petrol na kujichoma moto hadharani mbele ya ofisi ya PSRS, hali iliyozua hasira na ghadhabu kubwa toka kwa jamii...
  4. Upside Down

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi saili fanyika kikanda walikuwa wana bip? 🤔
  5. Upside Down

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Binafsi kuna muda sioni hata sababu ya kuishi kila kitu kimegoma😓 nimeingia oral kadhaa hivi karibuni, mambo yanagoma mbaya zaidi unasikia Naibu waziri anataka toa ajira kwa kwa wanaojitolea nimetafuta intern kwa damu na jasho sijawahi pata naona Giza tuu mbele sina mtaji na watu walikuwa...
  6. Upside Down

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Psrs hawashindwi kuita watu kimyakimya bado tuna safar ndefu
  7. Upside Down

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ridhwani aachane na mpango wa kutaka ajili watu kwa kigezo cha kujitolea ni kuturudisha nyuma kipindi cha giza kuu, la kujuana na rushwa za pesa na ngono.Huwezi jitolea bila connection hasa.
  8. Upside Down

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Utumishi na PSRS. Msiturudishe nyuma kipindi cha giza kuu mkamgombanisha Rais Samia na wapiga kura

    Awali ya yote nichukue nafasi hii kuipongeza Serikali kwa juhudi kubwa iliyofanywa kuondoa au kupunguza upendeleo katika nafasi za kazi serikalini kwa kuunda chombo kimoja kitakacho simamia ajira za umma (PSRS) iliyo chini ya ofisi ya Raisi. Ni kweli kuna mapungufu kadhaa ndani ya hiki chombo...
Back
Top Bottom