HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Utumishi mbona wamelifuta lile tangazo la kuitwa kwenye usail taasisi mbalimbali??
Nadhani Kuna marekebisho wanayafanyia Kazi. Ile document wameweka kama PDF ambayo ni ya format ya picha. So ukisearch haileti results. Nadhani hiyo inaweza kuwa moja ya sababu ya kulifuta
 
Nadhani Kuna marekebisho wanayafanyia Kazi. Ile document wameweka kama PDF ambayo ni ya format ya picha. So ukisearch haileti results. Nadhani hiyo inaweza kuwa moja ya sababu ya kulifuta
Na pia majina hayajapangwa alphabetically kama ambavyo wamekuwa wakifanya kipindi Cha nyuma. So nadhani hizo errors wameziona that's why wamelitoa
 
Iweke Hiyo Pdf Hapa JF Tujue taasisi gan zimeitwa kwny usaili.maan wanaweza chukua siku kadhaa kurekebisha.
Hilo faili licheki kwenye sehemu ya archive mwezi wa 5 mwaka 2023. Ni faili kubwa la kurasa 203. Kinachofurahisha hapo ni kuna post nyingi tu hawatakuwa na written interview!! Taasisi zilizoita wasailiwa ni kama inavyoonekana kwenye sehemu niliyokopi na kupaste hapa:

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya OFISI YA WAZIRI MKUU, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU, OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA, WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI-UVUVI -MIFUGO, INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT (IFM), WIZARA YA AFYA, COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE), GEOLOGICAL SURVEY OF TANZANIA (GST), INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ARUSHA (IAA), CHUO CHA MIPANGO YA MAENDELEO VIJIJINI (IRDP), UNIVERSAL COMMUNICATIONS SERVICE ACCESS FUND - UCSAF, HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA, KILIMANJARO CHRISTIAN MEDICAL CENTRE(KCMC), MDAS & LGAS, OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA (NPS) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 12-05-2023 hadi tarehe 15-05-2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
 
Mkuu yesamrich umepotea kabisa kwenye uzi wetu huu. Haijulikani kama umeramba asali au lah
Naona post ya mwisho ya yesamrich kwenye uzi huu ni hii hapa:
Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...

Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.

Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.

It aint over until IT'S OVER si ndio?....

Naona sasa atajitokeza tena.
 
20232403081427KATIBU%20PSRS%20AKIWAAGA.jpg

Comments tafadhali!!
 
kikosi kazi ,hawa jamaa ukipita mikononi mwao salama utawaona watu wema ,ukibolonga lazima uwaone ni miyeyusho.

naona afadhali mhagama kuliko simbachawene na huyu lake oil,maana pdf zimekauka kutoka balaa
Binafsi sijaona chochote kilichozid baad ya kuja hawa jamaa
 
Ridhwani aachane na mpango wa kutaka ajili watu kwa kigezo cha kujitolea ni kuturudisha nyuma kipindi cha giza kuu, la kujuana na rushwa za pesa na ngono.Huwezi jitolea bila connection hasa.
 
Ridhwani aachane na mpango wa kutaka ajili watu kwa kigezo cha kujitolea ni kuturudisha nyuma kipindi cha giza kuu, la kujuana na rushwa za pesa na ngono.Huwezi jitolea bila connection hasa.
ndio maana nimesema huyu muuza mafuta hatujaona new approach yoyote yenye unafuu kwetu
 
Back
Top Bottom