Mkuu jipongeze una kidume, angekuwa anasikiliza udaku na taarabu nahisi ungelia. Kwa ushauri wangu muite kaa nae mfundishe mgawanyo wa muda , kuacha hawezi ila anaweza tenga muda wa kucheza mfano wakati wa usiku kataza matumizi ya simu mpaka muda wa kwenda kulala. Pili mpe kazi zinazohitaji...
Write your reply...
Operamini ina ubia na baadhi ya nchi za africa mfano kwa africa mashariki ukitumia laini ya airtel unatumia mtandao bure kuperuzi bila mb kabisa
Habari za muda huu wakuu
Naomba ushauri, mtu mwenye diploma ya forensic science anaweza kusoma degree ipi hasa kama anataka kujikita kwenye uchunguzi wa maiti
Pole kwa yote mkuu na pia nikupongeze sana kwa kushirikisha watu wako wa karibu, huu uraibu unaua watu wengi kimya kimya.. Lakin hatua ya kushirikisha ilikuwa uponyaji mkubwa sana kwako. Mungu akufanikishe kwa safari mpya ya maisha. uhai ndo kila kitu. mali zinarudi lakini uhai tumepewa mara moja
Kama unataka ajira serikalini Nashauri usome nursing kama unataka ujiajiri bas pharmaceutical ipo vizur. Nimegusia kwa kozi za afya kwa uzoefu wangu. Nb; kusomea afya ni wito hivyo sikiliza moyo wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.