Tupeane updates za ajira mpya JWTZ 2026

Tupeane updates za ajira mpya JWTZ 2026

Muulize mbanga wako mkuu humu wote kama wewe tu, toka 2019 watu mpaka leo wanapambania hizi nafasna kila mwaka hawapati
Aise mwanang kumbe tupo pamoja toka kwenye ule uzi wa polis magereza jwtz mpk leo bado mambo ni empty empty mm hii sijaangaika ata nimelituma libarua posta wata juwa wao wakipeleka frsh wasipo peleka frsh maana nimeshajikatia tamaa toka 2020 naforce tu
 
Toka 2020 mzee 😂
 
Back
Top Bottom