Tupeane updates za ajira mpya JWTZ 2026

Tupeane updates za ajira mpya JWTZ 2026

Naombi moja kwako MUNGU baba....
dah kesi ishakuwa ngumu hii.. nikihesabu nauli za nenda rudi msalato Makao dadeki
Kila lakheri mkuu,, ila nadhani mambo bado labda maana bajeti rasmi zinaanza matumizi 1 July.
 
Back
Top Bottom