Recent content by uncle Bk

  1. uncle Bk

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Sory, hiv naweza pata msaada wa kujitoa kwenye haka kamfumo ka kutumiwa sms kutwa kucha za kubet ..., maana nshaacha hiz mishe muda sasa
  2. uncle Bk

    Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

    Huyu jamaa, sio mara ya kwanza, hafu hapend kuona mtu anafanikiwa, Mfano kuna mtu mmoja alifungua english medium maeneo ya huko itig, ofcoz huyu DED alifikia hatua ya kutaka kumkunja shat mmiliki wa hiyo shule eet ili ampeleke kituo cha polis yy mwenyew. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. uncle Bk

    Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya ITIGI amemshambulia na kuua mtu mmoja kisa mgogoro wa shamba. Mkurugenzi huyo amemuua mtu huyo ndani ya kanisa la sabato kwa bunduki. UPDATES: VIDEO: ====== Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa Itigi, Pius Luhende na askari wawili wa...
  4. uncle Bk

    Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

    Yaan umewaza nilicho waza, Ofcoz niliwahi fanya kaz ya ujenzi kwa muda mfup, nilikomaa balaa,, hususan kwenye zege na tofar za block Sent using Jamii Forums mobile app
  5. uncle Bk

    Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa mbezi beach

    Daaah, hebu subirien nipate hela ndo mlete matangazo bhana,,, yaan mnanirusha roho kwel Sent using Jamii Forums mobile app
  6. uncle Bk

    Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

    Haya bhana wachaga, ila nyie watu hamwachag asili, leo nimeingia kanisan huku Mwanza, yaan sikupata shida kujua kabila la Mhubir yaan alikuwa yy na pesa tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. uncle Bk

    Elimu sio Siasa, Nyuma ya pazia Sekondari ya Mt. Francis Mbeya

    Anyway me nadhan kama kwel wanafunzi wanapiga one na wakobright nadhan kuna sababu ya kujifunza. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. uncle Bk

    Ni mara ngapi umeyanoa mahusiano yako??

    Yaaap ni kwel, ila mengine vyuma vya pua hayanoleki mzee baba Sent using Jamii Forums mobile app
  9. uncle Bk

    Picha: Nadhani sasa Watu wapigwe marufuku kuingia na simu Kanisani

    Duuuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  10. uncle Bk

    MC pilipili×3

    By my experience, mabint wengi hiv sasa wana watu wao, so ww ambaye unajidanganya kuwa uko pekeako, nakupa pole. Hivyo bhas kabla ya kusema ya mwenzio, fatilia ya ppande wako pengine unaweza jikuta unalia mwenyew. Byeeee..... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. uncle Bk

    Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

    Wish all the best.
  12. uncle Bk

    Kuna mapigano kati ya police na wafugaji (wasukuma)tarafa ya nguruka wilaya ya uvinza

    Ningepata evidence ninge comment chochote
  13. uncle Bk

    Msaada wa chuo

    Namshukuru Mungu nimepata diploma ya medical lab, Ila naomba mnisaidie kati ya Bugando na Rucu kipi kikovizury kwa maisha ya mlala hoi
Back
Top Bottom