uncle Bk
Senior Member
- Apr 20, 2015
- 165
- 83
Daaah, hebu subirien nipate hela ndo mlete matangazo bhana,,, yaan mnanirusha roho kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu eneo lenyewe ni la kishua, hakuna kupigana chaboNyumba nzuri sana. Ningekuwa na pesa hiyo nisingefikiria mara mbili kuinunua Mkuu
Daaah, hebu subirien nipate hela ndo mlete matangazo bhana,,, yaan mnanirusha roho kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes huo mtaa umetulia sana. Kuna mama mmoja yupo mitaa hiyo nae ana nyumba nzuri sana, parking ya kutosha, ana watoto wazuri, yeye pia mzuri yaani shida tupu mkuu
Pole pole NduguYes huo mtaa umetulia sana. Kuna mama mmoja yupo mitaa hiyo nae ana nyumba nzuri sana, parking ya kutosha, ana watoto wazuri, yeye pia mzuri yaani shida tupu mkuu
Hahaaa kama kweli vile mkuujamiiforum kuna kina Dr shika tu huku wanasubiri hela za uswizi. Tutaishia kutoa macho tu
Mkuu bado eneo lililopo ni kubwa kwahyo unaweza kuongeza mabanda kwa ajili ya ndg zako 11Nyumba yetu ni ndogo lakini inavyumba ita hii ghorofa ina vyumba vinne.. nikiinunua ndugu zangu ambao wadogo tu wapo 11 watalala wapi???
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kwa mara kwanza naona nyumba Mbezi Beach tena ikiwa kwenye eneo zuri (according to watu kama platozoom ) na kubwa na bado inauzwa kwa bei inayofanana fanana na hadhi yake!! Yaani huwa nahisi wauza na wapangisha nyumba za Mbezi Beach kana kwamba madishi yameyumba hivi!!!
Mkuu dovillenproperty naamini kuna uchawi mwingine Mungu wala hawezi kukupa dhambi!! Yaani kama ndo ningekuwa na mchongo labda mwaka mmoja ujao napata 500M, HAKI YA MUNGU TENA NINGEENDA KUROGA ILI MSIPATE MTEJA KWA SASA hadi nitakapopata hiyo pesa!!! Yaani nipo more impressed na ukubwa wa eneo!!!
Sema hiyo fence imejengwa ki-selfish! Yaani ukuta hadi barabarani kabisa!!!