Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

Badou Tutaona mengi wa aina hiyo ndiyo chaguo murua la mkuu. Hatujasahau masumbwi ya mwanga DC vs DED. Vijana kuleni vyuma kijacho ni kitamu
 
Inawezakana alilogwa na watu aliowafanyia figusu ili aue.Maana bongo kila kitu kinawezekana

Wengi waliona kama vile Amba Ruty kafanya mambo mageni lakini ukweli mambo hayo yapo toka enzi na enzi na yanaendelea kama kawaida .... kama huamini endelea mpaka siku ikifika!
 
We bwege uko nchi gani?Hujamsikia mkurugenzi wa.Mbeya akiomba msamaha kwa kumpitisha Sugu ?Huyu mtuhumiwa alikua kada wa ccm unasemaje mkurugezi sio mccm?Nakuambia mimi hata nikute malaya wa ccm anabakwa nitapita hivi...
jaman jaman ebu tuwage na busara sasa yeey mkurugenzi amekuaje kuaje na kuhusisha ccm? kwahyo kwa sabab yy kaua manake na watoto wake wameua??? sometimes blandas sio sifa
 
Hao huko wanakotokea si huwa wanaweza kumuua mama yake mzazi kwa kumtuhumu uchawi kisa ana macho mekundu
 
Kama aliua na Wananchi wakamwachia atoke salama,
Basi keshapona huyo. HANA KESI YA KUJIBU. NIAMINI USINIAMINI.

AKIFUNGWA MAISHA NAOMBA MNIHAMISHE NCHI HII.
 

Nimesikiliza jana ndugu ya marehemu akiongea kwenye ITV nikahisi kuwa Pius Luhende alimuua msukuma mwenzie, kama ni hivyo kweli je ilikuwa ni bahati mbaya au walikuwa na tifu fulani huko siku za nyuma? pia najaribu kuwaza huyu Pius toka shule huko Kizunguzi Secondary hadi pale Hotelini Sinza ni nani aliyemuibua kuwa anafaa kuwa DED na ilitokana na kigezo gani hasa maana jamaa anaonyesha ana dalili zote za ukichaa fulani, mfano alivyopingana na mkuu wake wa kazi Mr Jafo tena hadharani ilibidi hapo waanze kumstukia lakini haikutendeka hivyo, Cha muhimu aliingiaje kwenye cycle yao ili tujifunze na mengineyo yanayokuja huko mbeleni
 
Waliomsaidia Mhe Dkt Magufuli kwenye teuzi za viongozi nchini wajitathmini:-
(i). Bw. Mfugale - MD Bukoba aliondolewa;
(ii). Bi. Mwantumu Dau - DED Bukoba aliondolewa;
(iii). Bw. Carlos Gwamagobe - DED Nyang'wale aliondolewa;
(iv). Bw. Kevin Makonda - DED Ngara/MD Bukoba alipata kashifa;
(v). Bw. - DED Itigi kakutwa na hayo;
(vi). Bw. - DED Pangani kaondolewa;

Nachotaka kusema ni kuwa kutofanya vetting vizuri wakati wa kuwapata viongozi wa Umma kunalibebesha taifa aibu, na hasara kubwa kwa kuwa baada ya kuondolewa kwa kiongozi kwenye nafasi yake kunapelekea kuteuliwa kwa mwingine. Sasa hapa unakuta nafasi moja inalipa mishahara kwa viongozi zaidi ya mmoja. Huyu anayeondolewa anaendelea kulipwa ngazi ya LLS kama yule aliyeteuliwa kuziba kiraka anavyolipwa.

Mwisho wa siku fedha nyingi zinakuwa za mishahara badala ya kusaidia wakulima na wafanyabiashara ndogo ndogo

Hivyo, nihimishe kwa kuwaomba wasaidizi wa Rais kwenye teuzi muachane na kasumba ya kuteua mtu kwa kuwa ni mtoto wa mjomba, dada, kaka au kwa kuwa mlikuwa pamoja kozi ya Jeshi la Ukakamavu - Teueni kwa kuangalia sifa
 

Kama mtu anaweza kumtwanga risasi mwananchi mchana kweupe mbele ya watu wengi,najiuliza ni wizi wa kiasi gani atakuwa anafanya.
 
Ndo madhara ya kila sehemu kuweka makada,pia kauli za kuruhusu uuaji ndo madhara yake,wakijua watalindwa.
 
Msemaji wa polisi anasema kule Itigi kulikuwa na vurugu kanisani ikabidi Askari wa wanyamapori amjeruhi Isaka Petro.
Swali: Je, KANISANI NI SEHEMU YA WAUMINI (TENA WASABATO) KUFANYA VURUGU?
 

Kumbe ameanza kuboronga kwa muda mrefu akimfumbia macho? Nasikia Mkurugenzi huyu ni ndugu yake Magufuli ndio maana hamtumbui.

CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka 2020 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 

Kama mtu anaweza kumtwanga risasi mwananchi mchana kweupe mbele ya watu wengi,najiuliza ni wizi wa kiasi gani atakuwa anafanya.
Huyu jamaa, sio mara ya kwanza, hafu hapend kuona mtu anafanikiwa,
Mfano kuna mtu mmoja alifungua english medium maeneo ya huko itig, ofcoz huyu DED alifikia hatua ya kutaka kumkunja shat mmiliki wa hiyo shule eet ili ampeleke kituo cha polis yy mwenyew.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hii issue kimya au mimi sisomi magazeti.Mbona wengine mashtaka huwa yanafungulia haraka sana .Jamani jamani mtende haki marehemu anandugu na yeye ingawa sio watu wakubwa.Nahisi ingekuwa ajauwawa kanisani mbele ya watu mgesikia jambazi lauwawa itigi .Ila sasa wanatafuta jinsi ya kuficha na watanzania kusahau.
 
Back
Top Bottom