Recent content by Unbounced

  1. Unbounced

    Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

    Bro ulichoongea hapo ndo tiba sahihi .Tangawizi ,mdarasini,karafuu, asali mbichi na maziwa fresh,green Vegetables , plenty of water , exercises,exclude porn associatives things ,busy mind and positive altitudes every moment without forgetting proper daily schedules of your activities .Within 3...
  2. Unbounced

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Very sure inanitesa Mimi pia wanaona nna ring kidoren lakini madem wananifata wenyewe tena ving'ang'nizi balaa,,,nadhani inapasa nibadiri muonekano niwe na muonekano wa kigesta Sana labda itasaidia mana Ni ngumu kuziacha pissi Kali na Ni hatari mana najiona kabisa naelekea pazia la kuzimu😪
  3. Unbounced

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    😁😁Ndo msimamizi wa mitaala ya elimu bongo Hadi chata la saini zake lipo kwenye vyeti vyetu , kwakweli bongo nyoso mi naenda kukichoma Moto changu Mana huzuni naipata mimi
  4. Unbounced

    Tundu Lissu: Nitarejea Tanzania iwapo nitaruhusiwa kuanika ‘Maovu’ ya Utawala wa Magufuli

    Kwa hatua aliofikia Lissu sidhani kama ni mzalendo wa kuikabidhi nchi kuiongozaa, Maana mzalendo wa kweli hawezi kuihujumu nchi au kuipotray in a negative ways ili kumkomoa mtu mmoja ambaye yupo madarakani, ni wazi kabisa Yuko na personal interests au kuna kitu he gains for being "Western...
  5. Unbounced

    Germany Agents lands in Tanzania to assess Covid-19 Impact

    "Achana nae huyu, Hawa ndo wale wanakesha wakisoma kumbe hawaelewi wanachosoma!
  6. Unbounced

    Yamenikuta mwanaume nimekutana na mwanamke msagaji akanitenda

    Huu mwandiko ni wa kidem Amemisi kuchokonolewa mwenzenu anawashwa rectum
  7. Unbounced

    Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

    🤣🤣mtoa mada utakua ni jirani yangu unajua vema maisha yangu,yaaan daah,,,mke wangu mgomvi balaaa mpaka naamua kukubaliana jambo ili tusiishie kugombana mana ni jeuri na wivu kinyama na mbishi kama shipa,ashauriki hata chembe!
  8. Unbounced

    Tupia list moja ya nyimbo tatu kali ambazo huwezi kupita siku bila kusikiliza

    1.Torn down 2.compuflage 3.I don’t care All by Brandy “The vocal bible!
  9. Unbounced

    Kama vipimo vina hitilafu hadi kutoa "positives" za uongo, basi pia kuna uwezekano wa kuwepo "negatives" za uongo! Ni sayansi sio siasa!

    Kama vitendea kazi vingekua bora na vya kisasa with 100% accuracy of results expected from them, tusingekuja hadharani hivi kuwasumbua askari wetu ambao kwa sasa ndo tegemeo. Mh.Rais hakupaswa kulichukulia jambo zito hili kirahisi na kwa kejeri kubwa kias hicho. Labda angetuambia kwamba ametoa...
  10. Unbounced

    Mapenzi ya wanaume akishajua una pesa na kwake hali ni ngumu

    “Sina cha kuchangia mama,mana ni tabia asilia ya wanawake kuwa selfish.Niko radhi kuoa mwanamke aliepalalaiz mwili wote akabakiza kichwa tu na uwezo wa kuongea,niko radhi kumuhudumia kwa kila kitu na kumfanya malkia milele kuliko kuoa mwanamke alienizidi kipato mana naamini iko siku nitashindwa...
  11. Unbounced

    Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

    “”Daaah watu vilaza kama hawa wabakie fb tu huko pamoja na insta yaani mtu hujistukii kukoment utumbo .Ningekua kiongoz wa jamii forum ningeweka criterias ambazo wachache ambao ni great thinkers wangemudu kuwa qualified members.
  12. Unbounced

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Ungekua wa kiume usingeandika haya au itakua unatatizo kama la dogo ,,,kagusishe na wewe upone
  13. Unbounced

    Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua

    “I’m so tired but only God gives me strength! Mimi ni mtumishi wa afya hapa jijini dar katikati ya mji kwenye muingiliano mkubwa wa watu lakini hivi karibuni DMO amekaa kikao nasi na kutusisitizia kuwa hawana bajeti ya vitendea kazi vya kutulinda especially barakoa anasistiza tulipwe pesa zetu...
  14. Unbounced

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    “Masihara yakizidi sana madhara makubwa huweza kumpata mtu hii huweza kuwa kijamii,kiuchumi na kiimani,utakuta umejishushia heshima yako,hutoaminiwa na wengi na kuna baadhi ya taasisi watakupuuza. Hakuna mzazi awezae kumpa mtoto wake jina “mzigo wa pumbu!.watu kama hawa hawajielewi kwa...
  15. Unbounced

    Israel :COVID-19 treatment proves to be 100% effective after being tested in US ..

    Inasikitisha sana tunao maprofessor na magenetic engeneers bongo lakini hakuna lolote kutoka kwao zaidi ushauri wa “nawa mikono ,avoid overcrowding na social distance
Back
Top Bottom