Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

wilcoxon

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
982
1,000
Mtoa mada hukupona tatizo la kusimamisha kwa sababu ya tiba uliyosema bali kwa kuwa uliamua kwa dhati kuwa unahitaji na ukaamin hivyo.
Tatizo la kupata shida kusimamisha au kuendelea kusimamisha pindi mtu anayepiga nyeto kupindukia liko kichwani zaidi kuliko kuwa physical iilness.
Google Erectile dysfunction ndio utagundua kuwa Punyeto haijatajwa kama sababu mojawapo wala risk ya kupata erectile dysfunction, inatajwa kijumla katika kundi la psychological causes. Unaweza pia kutafuta The Truth About 8 Masturbation Myths.
Duuh
 

The Butcher

JF-Expert Member
May 24, 2015
287
500
Mimi nakiri kabisa punyeto kuiacha ni maamuzi tu.. yani sema tu Naacha! Na moja ya sababu ya kuacha iwe ni matatizo inayokupa.. ubakumbatia vipi bomu ?
 

rajiih

Senior Member
Apr 4, 2019
137
225
Umetudhalilisha sana mkuu tena mm kama katibu wako nmefadhaika mnoo but no way japo replace ya nafasi yako kwa haraka itachukua muda kumpata wa sawa yako...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom