Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,621
- 16,373
πππππahh kipaimara lengo lilikuwaga wali mengine tuliwaachia wana wa Israel waamueπππ
πππππahh kipaimara lengo lilikuwaga wali mengine tuliwaachia wana wa Israel waamueπππ
ππππππππ
Pia wataalamu wenyewe wa mambo ya afya wa Israel wana mashaka kuwa haitofanya kazi...halafu watengenezaji wao wanatwambia eti ufanisi wake ni 100%! Kisha watu 8 tu ndio wamejaribiwa na results zimeshapatikana kwa wanne tu.
Mkuu, inamaana siku ya mwisho WaIsrael hawata hukumiwa kwa zambi walizotenda kama watu wengine?.Hilo ni Taifa teule la Mungu.
Kwa hiyo Mungu ameamua kuwafunulia uwezo wa kuponya gonjwa hili la corona, ambalo linayafanya hata yale mataifa yanayojiona ni tajiri na yana nguvu kubwa za kijeshi, kama Marekani, wakikuna vichwa vyao na wasijue cha kufanya!
Alafu wanaosemaga hata aibu hawanaSomo la dini ulipata ngapi mkuu?
Huko ndo kwenye hayo 'madini' kuwa israeli ni taifa la Mungu.
Watu wanakimbilia kuifurahia hiyo dawa lakini hawaangalii imeundwa kutokana na nini....placenta kwa uelewa wangu mdogo wa biology inahusika katika nyumba ya mtoto ambaye hajazaliwa...sasa inakuaje madokta kutumia uchafu kutengeneza dawa in the first place.???...hizi chanjo ni sumu kwetu kimaadili ya kidini...kaeni mbali n.a. chanjo au dawa zilizoundwa kutokana na maiti ya vichanga jamani...am keni...dawa za miti zipo kibao..iweje Leo tunalishwa maiti..wanatulazmishwa tule nyama za watu n.a. vichanga kama wao..
ina maana haya mataifa yalobakia niyashetani ?!Swala hapa ni tiba ya Corona sasa kama wewe taifa ambalo unali-admire haliwezi hata kutengeneza paracetamol hapo sasa sisi tuna kosa gani??
Israel kuwa taifa teule kwa nini likufanye uumie tumbo wakati hayo ni maandiko ya kitabu cha Mungu mwenyewe na kama wewe huyaamini hiyo ni shauri yako na imani yako.
Hakuna anayekulazimisha uyaamini na wala huwezi na wewe kumlazimisha mwingine asiyaamini.
Kama ni kweli wanaweza wakawa wamepata breakthrough ya hili janga itakuwa ni a scientific milestone na hata hawa wanaopiga kelele humu watakuwa wa kwanza kupanga foleni ya kutafuta tiba hiyo hata kwa ndugu zao, unafiki ni shida sana.
Wengine imedunda!Pia wataalamu wenyewe wa mambo ya afya wa Israel wana mashaka kuwa haitofanya kazi...halafu watengenezaji wao wanatwambia eti ufanisi wake ni 100%! Kisha watu 8 tu ndio wamejaribiwa na results zimeshapatikana kwa wanne tu.
Watu wanakimbilia kuifurahia hiyo dawa lakini hawaangalii imeundwa kutokana na nini....placenta kwa uelewa wangu mdogo wa biology inahusika katika nyumba ya mtoto ambaye hajazaliwa...sasa inakuaje madokta kutumia uchafu kutengeneza dawa in the first place.???...hizi chanjo ni sumu kwetu kimaadili ya kidini...kaeni mbali n.a. chanjo au dawa zilizoundwa kutokana na maiti ya vichanga jamani...am keni...dawa za miti zipo kibao..iweje Leo tunalishwa maiti..wanatulazmishwa tule nyama za watu n.a. vichanga kama wao..
Hahahaha eti kwa kuwa amesom nuclear basi yeye kama yeye anauwezo tayari wa kutengeneza kibatari..Elimu yetu ni ya kutafutia ajira especially serikalini, hatuna elimu ya kumfanya mtu awe innovative.
Na ndio maana wale wanaoitwa wasomi ktk nchi hii wanapata wakati mgumu sana ku-survive nje ya ajira mithili ya Covid-19 anavyopata shida ku-survive nje ya cell ya kiumbe hai.
Ndio maana wale wanaoitwa wasomi ktk nchi hii hutafuta paradise kwenye siasa kwani ktk nchi hii siasa ndio shortcut ya maisha.
Aliyekuwa makamu wa rais wa Kikwete Mohammed Gharib Billal, alienda Russia enzi hizo, akasomea mambo ya Nuclear Physics na mpaka leo anakaribia kufa hakuwahi hata kutengeneza kibatari kinachotumia nishati ya nuclear na madala yake akazamia kwenye siasa kutafuta Shortcut to Life na akafaulu na kuacha nchi ikiwa na umeme unaowaka kwa style ya mgonjwa wa kifafa.
Sisi waafrika hatuwezi kabisa tukajivunia elimu kwani imetusaidia padogo sana sana tofauti na wenzetu na ndio maana hata kwenye mijadala yetu mbali mbali ni vigumu sana kutofautisha msomi na kanyaboya na mfano mzuri ni kwenye bunge letu.
Tunaona hata kwenye hili janga namna wasomi walivyokuwa relegated to the back seats na kuwaachia wanasiasa akina Makonda ambao hawajui hata forceps ni kitu gani kuongelea maswala ya kitaalam. Sisi bado sana.
aseeee.Eti Taifa la mungu,mbona linaangamia kwa corona?.
Waafrika sijui tutaacha lini fikra za kitumwa.
Sent using Jamii Forums mobile app