Recent content by unbounced 120

  1. U

    JamiiForums Tanzania Cardinal namba 3 wa Vatican ashitakiwa kwa ulawiti

    Hhahahhaaaa,, aisee nmegundua kitu, tufanyae mchakato tuwanase wafungwe wote ili jamii ipone Enzi za zamani mwenye ugonjwa wa ukoma alikuwa anatengwa hakai pamoja na jamii Ukoma wa Leo ni watu hawa walawiti hawa tusiwahurumie tukiwanasa ikiwezekana tuwauwe kikatili tena hadharani kwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Cardinal namba 3 wa Vatican ashitakiwa kwa ulawiti

    Ukizungumzia uovu wa dizaini hii upo kote sio ukristu sio uislam wala wabudha,, jambo LA msingi ni jamii kuamka na kuchukua hatua ili tusipoteze kizazi chetu cha Leo na mambo yanayodhalilisha imani zetu.Hakuna mkristo au muislam anaefundishwa uovu Ila miroho mibaya inayowakumba watu na kuwatesa
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    Affordable classic codes
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Kumetokea tukio la kushangaza baada ya mwanaume mmoja kujifanya ni mwanamke mpaka kuolewa

    Hii ni kazi nzuri ya fasihi andishi,,, Lakini swali langu ni vipi kuhusu muonekano wa nje wa huyu kijana hadi asijulikane kuwa ni wa kiume na ilikuaje aolewe na kuishi na mume miez kadhaa bila kugundulika Nimegundua kazi Hii ya fasihi Ina ushawishi mdogo wa kuziteka fikra za wasomaji japo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Sipati picha ingekuwajee...

    [emoji3]busara itaamua
  6. U

    JamiiForums Tanzania Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    The best thing iz,,,,,, Wanaofanya mauaji watoe tamko hata bila kuonekana tujue why they hv been killing wenzetu kisha, waseme wanataka serikali iwafanyie nini amani iendelee Serikali iwape mda mfupi Sana kujieleza otherwise they are terrorists na tuwakabidhi kwa JWTZ,,,, ikiwezekana iwatendee...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Dhana ya nyumba ya milele

    Mkuu mada imenigusa Ila najiuliza maswali mengi kuhusu lyfe after death sipati majibu maana hata nikiuliza hakuna aliekufa anipe ukweli ntaishia kupewa nadhalia tu,,, yana nachanganyikiwa sanaaa sijui lini ntakufa?? Sijui itakuaje ,,,all I know ni kumpendeza mungu nisipate adhabu ya milele...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke msumbufu sana jamani.

    Pole kicheche wa kwanza,,,, achana na kicheche wa pili kisha badili ID
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kabisa kadri mnavyopanua ndivyo tunavyozidi kutamani

    [emoji3] et wapanuaji duh
  10. U

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wengine wangekuwa kama Gwajima nchi hii ingepona

    Ni kweli lakini kaa ukijua kuwa kanisa sio jengo ni watu na uthamani unaongezeka pale watu hao wanapoabudu katika roho na kweli na sio ibada za mazoea katika majengo uyatukuzayo
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hili la mwanamke kubeba jeneza ndo mila za Kiafrika au usasa?

    Sote ni binadamu tofauti ni jinsia,,,,,kutendeana wema hakuulizi ni mke au mume ,,,,bora mwanamke aliebeba jeneza kuliko mwanaume mshika dini ambaye ni mnafki na mzinzi anaejificha
  12. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Mara utasikia zitto kateuliwa kuwa bwana jela [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
  13. U

    JamiiForums Tanzania Natongozwa na mpangaji mwenzangu

    Ilo ni pepo likemeee lishindweeeeee
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

    Dadeq inaonekana we ni mzinzi Sana,,, acha Mara moja oa mke mmoja,,,usiwadhalilishe wakianza kututapikia yetu hapa tutakimbiana Pia kumbuka ukimwi unaua,,na ukijikinga ukimwi jikinge na ulimi Pia hepatitis inaua pia
  15. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

    Hakuna mwenye majibu sahihi labda ukivaa viatu vya Ivan na kupata picha what he have been through ndo utupe mtazamo wako kabla hujafa,,,,,nkutakie kuvaa kwema
Back
Top Bottom