Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Sawa mkuuNdio na ikitokea hivyo kuna ama ibada kafara au tambiko zifanyike kwanza
Sawa mkuuNdio na ikitokea hivyo kuna ama ibada kafara au tambiko zifanyike kwanza
Mkuu kwa haya maelezo yako, kumbe ROHO nayo inakufa? Sababu kila Nafsi itaonja mauti na Nafsi umesema ni muunganiko wa Roho na Mwili.Nafsi ni muunganiko wa roho na mwili,roho ndio uhai wenyewe, utu ni kiambishi cha nafsi, mwili ni jumba la roho
Nafsi ni muunganiko wa vitu viwili nafsi ni ID, roho inapotengana na mwili nafsi inakoma kuwaMkuu kwa haya maelezo yako, kumbe ROHO nayo inakufa? Sababu kila Nafsi itaonja mauti na Nafsi umesema ni muunganiko wa Roho na Mwili.
Kwaiyo ile dhana ya roho haifi ina ukweli wowote?
Hebu nifafanulie kidogo hapo mkuu.
Heshima kwako mkuuView attachment 521041hakuna kidumucho milele isipokuwa milele yenyewe
Kaburi linachukuliwa kama nyumba ya milele kwa wafu lakini uhai wa mwili mfu kaburini si zaidi ya miaka 20, labda ile kumetumika njia maalum za kuhifadhi mwili husika
Sehemu nyingi leo hii zilizokuwa makaburi zimebadilishwa matumizi na kufanyiwa uwekezaji mwingine japo huwa na matukio mbalimbali
Maana yake iko hivi, roho nyumba yake ni huu mwili uharibikao na baada ya roho kutengana na mwili, mwili husika huzikwa (kwa ile miili inayobahatika kuzikwa)...kiroho na katika dunia isiyoonekana pale kaburini ndio huwa pia makazi ya roho husika kwenye ule mwili unaoendelea kuoza na kuharibika kabisa
Kama palichaguliwa hapo kama makazi ya milele kuja kuparudia bila utaratibu ni kuingilia makazi ya wenyewe bila ruhusa....ndio maana sehemu kama hizo huwa na matukio mengi hasa vifo na ajali![]()
Kilichowekwa pale ni mwili mfu lakini kuna roho isiyokufa ipo pale na ukitaka kupaingilia kuna taratibu maalum za ibada, kafara na matambiko hufanyika ili kuomba ruhusa ya roho husika zihame ili kuepusha madhara mbeleni....mkikosea kwenye hilo tarajieni mengi
Mwananyamala hospital imejengwa juu ya makaburi bila kufuata utaratibu
Nafsi ni muunganiko wa vitu viwili nafsi ni ID, roho inapotengana na mwili nafsi inakoma kuwa

Tofauti ni kwamba unapokuwa kaputed roho inakuwa bado iko mwilini ni fahamu tu ndio zinazimwa...ukifa roho inakuwa nje ya mwili kimojaMkuu mshana jr hiv ukiwa unajiskia wewe ni yule yule au unajiskiaje kama ni vile vile ina maana ukiwa kaburini unakuwa mpweke sana lile giza af uko mwenyewe had miaka 100 duh c mchezo ila me bado nna was was kwa sababu nlishawah kuchomwa dawa ya nusu kaput sikuhis chochote yan sikuhis kabisa na siyo kwamba nilihisi usingizi yaan sikuhis kabisa for 5 hours so najarib kuimagine ile ni sindano tu na nilikua hai je roho ikitoka na kila kitu hakifa nyi kazi utahisi vipi
So kama mimi ni juma au bakari roho ikichomoka ntajiskia mimi ni yule yule juma ila niko different place with the same memories au ntajiskia mimi mwingine/mpya in a new place with no older memories na hiyo transition inachukua muda gani na unai feel ikitokea?Tofauti ni kwamba unapokuwa kaputed roho inakuwa bado iko mwilini ni fahamu tu ndio zinazimwa...ukifa roho inakuwa nje ya mwili kimoja
Hapa kuna mada yake ngoja niitafuteSo kama mimi ni juma au bakari roho ikichomoka ntajiskia mimi ni yule yule juma ila niko different place with the same memories au ntajiskia mimi mwingine/mpya in a new place with no older memories na hiyo transition inachukua muda gani na unai feel ikitokea?
Naona kama swali lako linapingana na maelezo yako mwenyewe...!!Mkuu kwa haya maelezo yako, kumbe ROHO nayo inakufa? Sababu kila Nafsi itaonja mauti na Nafsi umesema ni muunganiko wa Roho na Mwili.
Kwaiyo ile dhana ya roho haifi ina ukweli wowote?
Hebu nifafanulie kidogo hapo mkuu.
Ilete fasta mkuu kuna maswali huwa najiuliza mpaka natamani kufa saiv ili nipate majib mujarabu mpaka najishangaa hivi mimi mzima kweliHapa kuna mada yake ngoja niitafute
mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwiliIlete fasta mkuu kuna maswali huwa najiuliza mpaka natamani kufa saiv ili nipate majib mujarabu mpaka najishangaa hivi mimi mzima kweli
Hebu pitia hii mada sanaa ya kifoMkuu mada imenigusa Ila najiuliza maswali mengi kuhusu lyfe after death sipati majibu maana hata nikiuliza hakuna aliekufa anipe ukweli ntaishia kupewa nadhalia tu,,, yana nachanganyikiwa sanaaa sijui lini ntakufa?? Sijui itakuaje ,,,all I know ni kumpendeza mungu nisipate adhabu ya milele (Kama maandiko yasemavyo)