Unashangaa mwanamke kubeba jeneza? Mbona watu hufia mikononi mwa mwanamke? Mbina wanawake huosha maiti? Hilo haulishangai? Mbona katibwa inavunjwa hilo haulioni?Binafsi, nimekuwa nikihudhuria misiba mingi ila sijawahi bahatika kuona mwanamke amebeba Jeneza. Isipokuwa kuna baadhi ya mila huwa zinawapa wanawake namlaka yote kuzika watoto wachanga waliokufa kabla au wakati wa kuzaliwa...
Kunakitu nimeongeza ktk maisha yangu kutokana na hili...
Kweli kabsaa mkuu yaani hawa watu waajabu sanaaawajinga wapo wengi kweli ndio maana kwenye nyumba za ibada mnawatenga wanawake kivyao lakini kitandani mnalala pamoja,huo ni ubaguzi tu wa utumwa wa kwenye vitabu
Exactly hujakosea mkuuuyu mtoa mada atakuwa muislam tu,
over
Safi unafiki Hatariiii sana wanazin na wanawake wengi wanajidai wafia diniSote ni binadamu tofauti ni jinsia,,,,,kutendeana wema hakuulizi ni mke au mume ,,,,bora mwanamke aliebeba jeneza kuliko mwanaume mshika dini ambaye ni mnafki na mzinzi anaejificha