Sipati picha ingekuwajee...

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,223
2,000
Chit chat...
Tumezoea humu jf sio kam facebook au insta kila kitu ndiyooo kam watu wanafahamiana,huwa hawaaibishani just like kam bungeni.ila sisi huku jf huwa watu,wanajibu comments hovyo wengine kwa kutukana ama wengine kucomment kitu hakihusiani na mada...mfano mtu anamwita mwenzie lumumba buku7,kutokw povu,kilaza na matusi mengine meng ikiwa mtu haufahamu hata umri wake na mengine kuhusu yeye,yani in general majibu ya kukatisha tamaa kw comment ya mtu.asa itokee,ukamfahamu mtu uliyecomment vibaya kwake au ukamtusi lada awe ni mzee wako au boss wako na we umekuja kufahamu ivo au yeye ndo amefahamu,au iwe wew ndo umefanyiwa ivo itakuaje?? Utamkaushia,utaomb msamaha au utamcheka?? Aseeh.
 

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,197
2,000
Juzi namrekebishia bi mkubwa simu nkaona App ya JF nkachoka kuchek vzur naona ni guests nikashukuru.
 

Paprika

JF-Expert Member
Feb 25, 2017
6,004
2,000
Ntamkaushia tu!!! Tumekutana nyuma ya fake ID kwahiyo yaliyotokea huko yanaachwa huko huko na kurasa mpya inafunguliwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom