Recent content by Umsolopogaas

  1. U

    A picture is worth 1,000 words

    The reign of terror: A picture is worth 1,000 words
  2. U

    TCU....even simple english is difficult for you!!!.....

    You tolerate "simple errors" you encourage incompetence. Haya ni matokeo ya "Mwongozo wa TANU, 1972" uliopiga vita supervision na hivyo kuendekeza utendaji mbovu kila mahali, serikalini hadi uraiani. Taifa linahitaji kuelewa misingi ya matatizo yetu iko wapi ili kuweza kuyarekebisha matatizo hayo.
  3. U

    Sababu Hasa ya Kuuchokonoa Muungano hii hapa...

    Wataka Kuvunja Muungano ili warudishe Ukoloni wa Mwarabu... ... na Utumwa wa Mwafrika Ukoloni wa Zanzibar, tofauti na Tanganyika, ulikuwa na vichwa viwili: Mwingereza na Mwarabu. Kichwa cha Mwingereza kilitoka 10 Decemba 1963. Kikabaki cha Mwarabu na ukoloni wake Mkongwe ambao ulidumu kwa...
  4. U

    Sensa ya watu 2012 maandalizi yako wapi?

    Jamani mbona watu wangu wanasahau sensa ya watanzania 2012? Nyie mlioko Takwimu, Mipango, Ikulu, na wadau wengine, mbona hatusikii lolote kuhusu sensa? Sensa ya mwisho ilifanyika 2002. Actually ilitakiwa kufanyika 1998 lakini wakazembea. kwa hiyo ili kwenda sawa sensa iliyofuata ilitakiwa...
  5. U

    Kizungumkuti Dowans

    Sakata la Dowans: ICC Siyo Mahakama wala ya Kijiji licha ya Kimataifa Mimi nawashangaa Watz wengi, tena walioenda shule, wanavyochukulia vitu kijuu juu tu bila uchambuzi na kupokea wanayoambiwa tu bila kuyachekecha. Watu wanasema kuna mahakama ya kimataifa imehukumu kuwa Dowans walipwe...
  6. U

    GE2010 Dosari za Magufuli hizi hapa

    Watanzania wengine nuksi tupu. Wanawapenda wanaoua uchumi wa nchi, wanaotutembeza uchi, wanaobomoa nyumba zetu na kutuua kwa ugonjwa wa moyo; lakini wanawachukia waliotuvalisha nguo, walioondoa foleni, wanaoineemesha nchi na kumwezesha kila mwananchi kuboresha maisha yake kwa kumwondolea vikwazo...
  7. U

    GE2010 Waungwana sharif kanunuliwa zanzibar au katishwa?

    Mimi nimesikia tetesi kwamba Mzee wa Ukweli na Uwizi na Mzee Ruksa walikuwa pale Bwawani wakawaita Mzee wa Sawasawa na ZEC mbele ya Shein na kuwaambia kuwa haiwezekani Shein asiwe rais kwani Zanzibar itaacha kuongozwa na CCM wakati bara itakuwa bado chini ya CCM; sasa Muungano utakuwaje ikiwa...
  8. U

    GE2010 Sumaye kafuata nini ubungo?

    Zama za Mahita na Waitara zimepita. Zilikuwa zama za Personal Power. Sasa tunaingia katika zama za Peopleeeeeees' Poweeeeeeeer.
  9. U

    GE2010 Webmaster na PRO wa NEC wawajibishwe

    Pole sana Mashayo, naelewa hasira yako and I sympathise with you. Msingi wa tatizo la utendaji katika serikali ya Tz ni kuwa watendaji wa ngazi ya juu wamechakachuliwa akili zao na ubora wao (competence). Ukiwa na akili huteuliwi na ukiwa mtendaji bora huteuliwi kuwa mtendaji wa ngazi ya juu...
  10. U

    GE2010 Mawaziri waliodondoka uchaguzi mkuu 2010

    Wewe unataka dezo tu, unataka watu wengine wakuchomee mhogo wako wewe ule tu. Kwanini usijumlishe wewe?
  11. U

    GE2010 [NOT OFFICIAL]: JJ Mnyika: Tumeshinda kwa zaidi ya kura 20,000

    Mbunge mmoja wa Chadema ni zaidi ya Wabunge 50 wa CCM. Ukweli ndio huo.
  12. U

    GE2010 Sheria inasema nini kuhusu Kujumlisha kura za wagombea Uraisi na Kutangaza matokeo

    Sheria inasema nini kuhusu Kujumlisha kura za wagombea Uraisi na Kutangaza matokeo. Wakuu, Nimetonywa na chanzo kinachoaminika kuwa M-Kiti wa Tume ya Uchaguzi akisha pata jumla ya kura walizopigiwa wagombea Urais, anaichukua jumla hii na kuipeleka kwa Rais kupata kibali chake kabla hajatangaza...
  13. U

    GE2010 Magufuli CHATO na BULANDES Karagwe Chali!!!

    Pombe ni pombe tu. Under the proper circumstances it evaporates. Huyu jamaa mjanja mjanja tu, mkandamizaji na mzulumaji mkubwa. Ni yeye ameanzisha utamaduni wa bomoa bomoa bila fidia na ndiye aliyefanyaa yale mazingaombwe ya kugeuza nyumba za serkali zikawa "nyumba zao!" Na wasomi wengine...
  14. U

    GE2010 CONFIRMED: Vunjo ni ya Mrema Augustine!

    Agreed! Hongera Mzee Tini. Baada ya Kejeli na Manyanyaso ya miaka 15, mwezeshaji wa kwanza wa upinzani kupata wabunge anarudi bungeni. Pata kisusio urudishe damu na nguvu. People's Power is the REAL power.
Back
Top Bottom