Elections 2010 Dosari za Magufuli hizi hapa

1. Ni stageshow. Anapenda kuonekana anapotenda jema na anaongea kwa nguvu ili watu wamjue kuwa katenda. Ni mfuasi wa Mrema style.
2. Ni msafi wa nje tu: Anajionyesha kwa watu kuwa ni msafi, lakini sivyo alivyo. Yeye si mwizi wa kujilimbikiza mali, bali ni "mwizi" wa kuwaangalizia wanaoiba wasishikwe. Kwa mfano, ilikuwa busara gani yeye kukubali nyumba 'za serikali' nyingi zilizojengwa na wakoloni ziuzwe kwa viongozi wa sasa wa CCM? Alisema Dr Slaa, inakuwaje hajawahi kuchoma nyavu zikiwa madukani (wauzaji), bali anachoma za wavuvi maskini?
3.Anaamini sana takwimu: Takwimu zinasaidia kuamua, lakini si za kuaminisha asilimia 100%.

NINAMPENDA MAGUFULI KWANI ANAWEZA KAZI NGUMU ZA KUKIMBIA KIMBIA, BUT HE IS NOT A STRATEGIC THINKER.
jina lako limemaliza kila kitu, una chuki naye juu ya katoro, na umetumwa kwa pesa kiduuuuchu

tupe na dosari za lowassa, rostam, JK na member tafadhali
 
Hivi sasa TANROADS ina kesi nyingi mahakamani zilizosababishwa na maamuzi yake yasiyoheshimu sheria.......................alijipatia umaarufu kwenye bomoabomoa ambayo ilifukarisha watanzania wengi bila ya fidia....................................................aliokolewa na fisadi lowassa wakati akiwa PM katika kashfa ya upoteaji wa zaidi ya bilioni kumi za barabara ambazo wengi waamini alizielekeza kibindoni kwake.................Waswahili husema ukiona debe tupu ujue halitaacha kutika......................na huyu Magufuli anatika kwa sababu ni mtupu....................ukiona karne hii ya 21 kiongozi anahangaika kurukia shahada ya mwenzie na yeye aonekana ana PHD ujue huyo hatufai............................

Tope mfano kesi ya barabara gani ilisababishwa na maamuzi mabaya ya Magufuli? Nadhani kipindi Lowasa alipokuwa waziri mkuu yeye hakuwa waziri wa miundo mbinu, sasa alihusika vipi na hizo pesa za barabara? Wewe nani amekukataza usitafute PHD? Huna hoja bali una majungu weye. Inaonekana ulishaingia anga zake akakutenda.
 
MAGUFULI TUNAMHITAJI CHADEMA maana hatatughrimu sana kumsafisha amechafuka kiasi laikini anasafishika tutatumia maji kiasi akawa msafi.
Hatuwezi kuchukuwa mtu kam LW itahitajika maji yote ya bahari ya hindi kwa ajili ya kumsafisha huyu jamaa ili afae.

PIGA UWA GARAGAZA JK hawezi kumweka JPM kuwa PM kwasababu wanajua kwa mtazamo wa nje JPM ni CCM lakini damu yake siyo CCM.PIa kumbukeni huyu jamaa alikuwa kundi tofauti na akina JK ndo maana hata kwenye serikali ya JK yumo tu kwa sababu ya nguvu ya wananchi lakini hatakiwi!

Mimi namshauri JPM kama ni mzalendo wa ukweli 2014 ahamie Chadema maana hata uchaguzi wa mwaka huu ameona alivyopata challenge jimboni kwake kwa matokeo ya awali nilidhani atapumulia machine siyo muda ....................

Hii ya huyu kaka nimeipenda. Anatakiwa kusafishwa kwanza.
 
1. Ni stageshow. Anapenda kuonekana anapotenda jema na anaongea kwa nguvu ili watu wamjue kuwa katenda. Ni mfuasi wa Mrema style.
2. Ni msafi wa nje tu: Anajionyesha kwa watu kuwa ni msafi, lakini sivyo alivyo. Yeye si mwizi wa kujilimbikiza mali, bali ni "mwizi" wa kuwaangalizia wanaoiba wasishikwe. Kwa mfano, ilikuwa busara gani yeye kukubali nyumba 'za serikali' nyingi zilizojengwa na wakoloni ziuzwe kwa viongozi wa sasa wa CCM? Alisema Dr Slaa, inakuwaje hajawahi kuchoma nyavu zikiwa madukani (wauzaji), bali anachoma za wavuvi maskini?
3.Anaamini sana takwimu: Takwimu zinasaidia kuamua, lakini si za kuaminisha asilimia 100%.

NINAMPENDA MAGUFULI KWANI ANAWEZA KAZI NGUMU ZA KUKIMBIA KIMBIA, BUT HE IS NOT A STRATEGIC THINKER.

kama hizi ndiyo dosari zake basi alifaa sana kuwa raisi wa ccm na kikwete maana za kikwete ni kuu kuliko hizo
 
Nilisikiaga kuwa anaendekeza hizi issues.....

DSC_6672.JPG

ulisikiaa!! naona umesahau ule wimbo.....mganga aliyekupa dawa ni adui yangu oooh rose!..oooh rose!!
 
unajua mkuu tunaenda kwa system hii habari hakuamua yeye peke yake ilitoka juu! Mi sioni tatizo kama iliamuliwa na kina ben na yeye kama mtekelezaji akatekeleza!

Mkubwa wako akikwambia lolote wewe unatekeleza? Kwa nini naye alijiuzia nyumba kama alikuwa msafi? Afadhali hata Kikwete alilazimishwa mwishoni. Na kwa nini alimuuzia ndugu yake ambaye hakuwa na stahili hiyo? Mkimpenda, mwende kwake; kajaa tele kidume.
 
1. Ni stageshow. Anapenda kuonekana anapotenda jema na anaongea kwa nguvu ili watu wamjue kuwa katenda. Ni mfuasi wa Mrema style.
2. Ni msafi wa nje tu: Anajionyesha kwa watu kuwa ni msafi, lakini sivyo alivyo. Yeye si mwizi wa kujilimbikiza mali, bali ni "mwizi" wa kuwaangalizia wanaoiba wasishikwe. Kwa mfano, ilikuwa busara gani yeye kukubali nyumba 'za serikali' nyingi zilizojengwa na wakoloni ziuzwe kwa viongozi wa sasa wa CCM? Alisema Dr Slaa, inakuwaje hajawahi kuchoma nyavu zikiwa madukani (wauzaji), bali anachoma za wavuvi maskini?
3.Anaamini sana takwimu: Takwimu zinasaidia kuamua, lakini si za kuaminisha asilimia 100%.

NINAMPENDA MAGUFULI KWANI ANAWEZA KAZI NGUMU ZA KUKIMBIA KIMBIA, BUT HE IS NOT A STRATEGIC THINKER.

we mwehu acha fitina hapa, mapungufu yenyewe matatu afu ya kuunga unga, hebu ainisha mapungufu ya jk hapa, na bado kawa rais..mara ngapi muambiwe tunataka raisi na si malaika..hakuna asiye na mapungufu, na vitu vingine unaita mapungufu wakati ni nje ya uwezo wa muhusika...unamlaumu hakuchoma nyavu dukani sasa tangu lini kazi ya kuchoma nyavu dukani ni ya wizara ya samaki?? dukani zinauzwa kiama net za mbu wakizipata wavuvi wanageuza kuwa nyavu na ndo zinaharibu mazingira na mazalia ya samaki sasa wewe unataka aanze kuchoma net za mbu madukani si ndio?? na hata kama kuna baadhi ya nyavu za hovyo dukani hiyo ni kazi ya TBS na FCC na si ya wizara we mwehuu, kama umetumwa na mafisadi kwa sababu ya uraisi 2015 peleka huu upupu wako kweingine na si hapa..mwehu wee na ungekuwa karibu ningekunaniliu..
 
Huenda ukawa sahihi lakini tunaweza kumfananisha na Lowassa ambaye ni mchapa kazi mzuri na mtu wa maamuzi lakini hafai?

Ni kweli Magufuli ana madhaifu yake mengi kama mwanadamu mwingine yoyote ila ikumbukwe kuwa tunatafuta kiongozi ambaye atakuwa angalau na unafuu fulani na kujali mali za nchi hii na hapa hatutafuti malaika kuja kuliongoza Taifa hili na nina imani kubwa atakuwa na watu wa kumshauri vizuri kulingana na aina ya uongazi wake na kuhusu nyumba za serikali kwanza nyingi hazikujengwa na serikali ila waliwanyang'anya wageni kama wazungu na wahindi waarabu nk. Na ilifika mahali ulikua ni mradi wa wakubwa fulani gharama za kufanyia matengenezo nyumba moja tu ni bora kuenga zingine mbili kifupi ulikuwa uchochoro wa kutisha malipo hewa ya wakubwa fulan na tena usisahau kuwa alikuwa anafuata wakubwa wake Sumaye na Ben wanataka nini apewe nafasi ajaribu. Akichemsha atapewa mwingine mwenye uwezo na watanzania wengi wanampenda siyo kwa kumwona bali kwa kazi ambazo tayari alikwisha kuzifanya
Tuache majungu na kukosoa tu bila kuhesabu mazuri ambayo tayari kuyafanyia taifa hili.

Tunaoongozwa, kufanyiwa mazuri ni haki yetu na tukibahatika kufanyiwa hivyo hatulazimiki kushukuru. You don't have to thank someone for giving you your right. Ni Kkkwajibu wetu kukemea mabaya ya viongozi wetu.
 
Hivi zile nyumba alizo zifisadi alishazirudisha?

ulikuwa uamuzi wa serikali >>baraza la mawaziri kwa kupigiwa kura. na magufuli alikataa, lakini kura za wahuni zikawa nyingi jk na lowasa wakiwemo. msimtwishe mzigo yeye peke yake.

Although ninaamini kila aliye ndani ya ccm ni mchafu as huwezi kutumbukia kwenye choo cha shimo nawe usipakae mavi.
 
1. Ni stageshow. Anapenda kuonekana anapotenda jema na anaongea kwa nguvu ili watu wamjue kuwa katenda. Ni mfuasi wa Mrema style.
2. Ni msafi wa nje tu: Anajionyesha kwa watu kuwa ni msafi, lakini sivyo alivyo. Yeye si mwizi wa kujilimbikiza mali, bali ni "mwizi" wa kuwaangalizia wanaoiba wasishikwe. Kwa mfano, ilikuwa busara gani yeye kukubali nyumba 'za serikali' nyingi zilizojengwa na wakoloni ziuzwe kwa viongozi wa sasa wa CCM? Alisema Dr Slaa, inakuwaje hajawahi kuchoma nyavu zikiwa madukani (wauzaji), bali anachoma za wavuvi maskini?
3.Anaamini sana takwimu: Takwimu zinasaidia kuamua, lakini si za kuaminisha asilimia 100%.

NINAMPENDA MAGUFULI KWANI ANAWEZA KAZI NGUMU ZA KUKIMBIA KIMBIA, BUT HE IS NOT A STRATEGIC THINKER.

hahahah unfortunately huyu ndiye aliyebaki CCM ambaye ni afadhali, wengine wameoza sema Lowasa hampendi kweli na mshikaji wake hawezi kumuangusha ----- anyway Magufuli Mvumilivu hula mbivu ila kwa CCM tayari ni Mbivu ukivumilia utakula zilizo oza
 
1. Ni stageshow. Anapenda kuonekana anapotenda jema na anaongea kwa nguvu ili watu wamjue kuwa katenda. Ni mfuasi wa Mrema style.
2. Ni msafi wa nje tu: Anajionyesha kwa watu kuwa ni msafi, lakini sivyo alivyo. Yeye si mwizi wa kujilimbikiza mali, bali ni "mwizi" wa kuwaangalizia wanaoiba wasishikwe. Kwa mfano, ilikuwa busara gani yeye kukubali nyumba 'za serikali' nyingi zilizojengwa na wakoloni ziuzwe kwa viongozi wa sasa wa CCM? Alisema Dr Slaa, inakuwaje hajawahi kuchoma nyavu zikiwa madukani (wauzaji), bali anachoma za wavuvi maskini?
3.Anaamini sana takwimu: Takwimu zinasaidia kuamua, lakini si za kuaminisha asilimia 100%.

NINAMPENDA MAGUFULI KWANI ANAWEZA KAZI NGUMU ZA KUKIMBIA KIMBIA, BUT HE IS NOT A STRATEGIC THINKER.

mkuu kiukweli kabisa una eitha chuki binafsi au hujui usemalo.
Ofkoz no one is perfect 100%, visababu ulivyotoa havina mashiko
 
Acheni majungu na fitna kwa watu wanaofanya kazi za wananchi na siyo za mafisadi. Ndiyo tunaelewa kuwa hakuna mtu aliyekamilika kwa 100% lakini kwa hayo unayoyazusha kwa Magufulu ni vigumu mno jamii kukuelewa. Hebu tafakari, ni waziri yupi aliyeweka rekodi kama ya Magufuli kwa ufanisi anaopata kila anapopewa wizara hata zile ambazo wengine mlifikiri kuwa hazina mchango wowote katika ukuzaji wa mapato ya serikali?
Hayo unayotaka kutuaminisha ni dhahiri kuwa umetumwa na mafisadi uanze kumchafua mtu muhimu katika uongozi wa nchi yetu. Tunamhitaji sana magufuli hata kama ataomba kugombea uraisi 2015 ni mtu anayefaa na anaweza. Tunachotaka kuona kutoka kwa viongozi ni matokeo mazuri ya kazi zao. Magufuli ameweza kutoa matokeo mazuri kwenye kila wizara aliyopewa.

Watanzania wengine nuksi tupu. Wanawapenda wanaoua uchumi wa nchi, wanaotutembeza uchi, wanaobomoa nyumba zetu na kutuua kwa ugonjwa wa moyo; lakini wanawachukia waliotuvalisha nguo, walioondoa foleni, wanaoineemesha nchi na kumwezesha kila mwananchi kuboresha maisha yake kwa kumwondolea vikwazo na vikwamishi vinavyosababishwa na fikra potofu serikalini. Huu ni mtezamo hasi. Ni wazi kuwa watu wenye mtezamo huo ni balaa kwa Tanzania. Wanastahili kulaaniwa.
 
Hivi sasa TANROADS ina kesi nyingi mahakamani zilizosababishwa na maamuzi yake yasiyoheshimu sheria.......................alijipatia umaarufu kwenye bomoabomoa ambayo ilifukarisha watanzania wengi bila ya fidia....................................................aliokolewa na fisadi lowassa wakati akiwa PM katika kashfa ya upoteaji wa zaidi ya bilioni kumi za barabara ambazo wengi waamini alizielekeza kibindoni kwake.................Waswahili husema ukiona debe tupu ujue halitaacha kutika......................na huyu Magufuli anatika kwa sababu ni mtupu....................ukiona karne hii ya 21 kiongozi anahangaika kurukia shahada ya mwenzie na yeye aonekana ana PHD ujue huyo hatufai............................
Tupe data mkuu hiyo niliyo pigia msitari hata siamini ni wewe unaweza toa kioja kama hicho
 
Kulikuwa na haja gani kwa Mheshimiwa Makufuli kuuzia nyumba za serikali wasukuma wenzake na nyingine kumpa demu wake?? was it really necessary?
 
Mkubwa wako akikwambia lolote wewe unatekeleza? Kwa nini naye alijiuzia nyumba kama alikuwa msafi? Afadhali hata Kikwete alilazimishwa mwishoni. Na kwa nini alimuuzia ndugu yake ambaye hakuwa na stahili hiyo? Mkimpenda, mwende kwake; kajaa tele kidume.
Achakule upumbavu wako hapa, hivi wewe ukipewa kazi ya kuza chakula halafu akaja ndugu yako ananjaa huta muuzia kisa ni ndugu yako, issue ni kwamba kama huyo ndugu yake hakuliapa pesa iliyotakiwa labda tulizungumzie hilo.....
 
Pombe ni mkabila. Alipokuwa Waziri Ministry of Works, TANROADS section leaders/directors including strategic Region Managers walikuwa inatoka mkoani yake. Wale vipanga ambao hawang'oleki walirundikwa sehemu moja kuwa disfunction. Hafai! Hafai! Mabaya yake huwezi kuyasikia kwani ni mzuri wa kujinadi. Full time 4WD. Ofcourse percentage kubwa ya budget ya serikali ikienda kwenye barabara waziri atasikika tu akijipanga!
 
Kulikuwa na haja gani kwa Mheshimiwa Makufuli kuuzia nyumba za serikali wasukuma wenzake na nyingine kumpa demu wake?? was it really necessary?
Magufuli ni msukuma!? kama ndiyo hili silijui, kwa hiyo wasukuma na demu hawakupaswa kuuziwa nyumba kwa sababu ipi kwasababu tu ni wasukuma au...peleka ujinga wako kwa mafisadi
 
Back
Top Bottom