CONFIRMED: Vunjo ni ya Mrema Augustine! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CONFIRMED: Vunjo ni ya Mrema Augustine!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KiparaDar, Nov 1, 2010.

 1. K

  KiparaDar Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 20, 2007
  Messages: 44
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  wakuu!

  waweza fikiria ni kichekesho!!!!!!!!!!!!!!!!Augustine Mrema ni MP elect,more nyuzi to come!
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eee hatuendi bungeni kubeba zege aise!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mrema??
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Safi sana!!!
   
 5. M

  MOMO Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hii kali...Mrema Ndani ya Mjengo kwa Hisani ya wanainji? hii nimeipenda.
   
 6. jaxonwaziri

  jaxonwaziri JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Duh, japo ni upinzani, naweza suspect huyu ni CCM in another outfit......! Well done though, lets wait and see what happens next!
   
 7. k

  kilimajoy Senior Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha ha ! kazi kweli kweli! Naona wana Vunjo wameamua kumpa zawadi ya kustaafu!
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  mjengoni patachimbika safari hii
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Bunge la mwaka huu full burudani mzee wa Kiraracha nae ndani safi sana
   
 10. aleliso

  aleliso Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekaa vizuri hiyo, bora jamaa turudishe heshima yake at last
   
 11. E

  Epifania Senior Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha, inachekesha ila maadam ni upinzani hebu tusubiri anakuja na staili gani this time. Amesema alishatanguliza koti lake Dodoma. Kama hatokuwa mnafki anaweza kuchangamsha bunge kimtindo.
   
 12. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ni kichekesho, ila huko bungeni..tuandae mbavu..
   
 13. m

  matambo JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hongera zake, mzee wa kiraracha japo pole kubwa kwa kijana mpiganaji john mrema, natumaini 2015 mzee wa kiraracha atakuwa kachoka sasa, hapo john mrema atapokea kijiti
   
 14. U

  Umsolopogaas Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Agreed! Hongera Mzee Tini. Baada ya Kejeli na Manyanyaso ya miaka 15, mwezeshaji wa kwanza wa upinzani kupata wabunge anarudi bungeni. Pata kisusio urudishe damu na nguvu. People's Power is the REAL power.
   
 15. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Lengo lake ni kupata nafasi na mala nyingi huwa hana mzaa akiwa kazini huwa namwamini sana mrema hasa pale anapoamuwa kuwawakilisha watu,we suburi kama ni kweli bunge ni safiiiiiiiii

  mapinduziiii daimaaaaa
  jamani wadu zanzibar kunaniiiiii?
   
 16. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii imetulia bora ameachana na kinyang'anyiro cha uraisi maana huko ni kwa mapapa tu yeye kambale lake tope...tusubiri matokeo akiililia nchi hii
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Afadhali apate fungu la kustaafia siasa
   
 18. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Whatever meeeeeeeeeen bado ni wa kwetu hope kura za uraisi zilikwenda kwa SLAA
   
 19. Makanda

  Makanda Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Namba safi zinaingia mjengoni Mrema, Tundu Lissu,Manyika,Zito,Mbowe Nyerere, ........Hapata tosha!
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mrema ndani ya mjengo mwaka huu bunge litakuwa la aina yake
   
Loading...