Sababu Hasa ya Kuuchokonoa Muungano hii hapa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu Hasa ya Kuuchokonoa Muungano hii hapa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Umsolopogaas, Jun 17, 2012.

 1. U

  Umsolopogaas Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wataka Kuvunja Muungano ili warudishe Ukoloni wa Mwarabu...
  ... na Utumwa wa Mwafrika


  Ukoloni wa Zanzibar, tofauti na Tanganyika, ulikuwa na vichwa viwili: Mwingereza na Mwarabu. Kichwa cha Mwingereza kilitoka 10 Decemba 1963. Kikabaki cha Mwarabu na ukoloni wake Mkongwe ambao ulidumu kwa miaka mingi. Ukoloni wa Mwarabu ulitimuliwa na Mapinduzi ya 12 January 1964 kama sehemu ya mfumo muhimu na wa Kihistoria wa African Liberation from colonial rule.


  Zanzibar Revolution U-Tube Video:
  http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=-sMDkCSC_5g

  Cheki hii video na pia, kama bado, soma kitabu cha "Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo..." which is highly recommended and very easy reading. Vitakuonyesha wazi kuwa tatizo la msingi Znz ni ndoto za Waarabu wanaotaka kurudisha ukoloni wao wa zamani pamoja na utumwa wa Waafrika, ambao ulitimuliwa 1964. Dini inatumika kuwalaghai Waafrika wa Znz kuwa wako upande mmoja na hawa Waarabu na kwamba adui wao ni Ukristu lakini ukweli ni kwamba wakifanikiwa kuuvunja Muungano kitu cha kwanza watakachofanya ni kurudisha utawala wa Waarabu na kuwashughulikia kikamilifu Waafrika (ambao wanadai kuwa ni watumwa wao halali) kwa kosa la kuwapindua mabwana zao na kuwadhalilisha pasipo kifani.

  Sultan wa mwisho Jamshid, as far as I know, is still alive in his early 80s, living in Southampton, England, with his family of 7 children, five of whom are males. He and his supporters have never hidden their desire to restore the old Arab rule not only in Znz but also in Mombasa and the East African coast. He draws basic support from fellow Arabs especially in UK and Oman as well as some of the old Indian business class, who, together with the Arabs formed the ruling aristocracy both before and during British over-rule.
   
 2. S

  SuperNgekewa Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wenye kumbukumbu hafifu, hatma ya Mwafrika chini ya utawala wa Mwarabu... na Jambia lake.

  Fate of Africans Under Arab Colonialism in Znz .jpg
   
 3. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Connect the dots!

  Hawa jamaa wala si wajinga kama mnavyofikiri ... ila wana lengo maalum! ... na ili lengo lao litimie kwanza ni kuuvunja Muungano na Tanganyika maana ndio kikwazo kwa watu walionyuma ya Dili hii ... ila hao wanaowashangilia hawajui lengo lao

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]

  Ethnic omani man next to Sultan Qaboos portait, Zanzibar, Tanzania


  Siku Wazanzibari watakapokuja kujua lengo la mchezo wote huu ... itakuwa tayari too late na wala wasije kumlaumu wala kuomba msaaada sehemu yoyote ile.

  =====

  Hii ni QUOTE ya karibuni kutoka kwenye Mmoja wa Watawala wa Uarabuni wakati wakiwa ktk mazungumzo na Mtawala mwenzake ambapo baada ya kuonyeshwa Baadhi ya Picha za Zamani za Ndugu zake wa Zanzibar ALISEMA HIVI ...

  "Nice old pictures.. I heard that during the era of Sultan Khalifa bin Harib, Zanzibar was on the top, and it was a destination for alot of businessmen. Unfortunately the last Sultan could not hold zanzibar where the African did their revolution.. and look how its messed up without in the hands of Africans!! - WE HAVE TO continue with our plans on Zanzibar"

  ==
  Swali - plans zipi -- hilo mtajua wenyewe!


   
 4. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  The first sultan of Zanzibar - Majid bin Said Al-Busaid
  [​IMG]
  [TABLE="width: 200, align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  Sayyid Barghash bin Said Al-Busaid​
  [/TD]
  [TD]
  Sayyid Khalifa I bin Said Al-Busaid​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  Sayyid Ali bin Said Al-Busaid​
  [/TD]
  [TD]
  Sayyid Hamad bin Thuwaini Al-Busaid​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  Sayyid Khalid bin Barghash Al-Busaid​
  [/TD]
  [TD]
  Sayyid Hamoud bin Mohammed Al-Said​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  Sayyid Ali bin Hamud Al-Busaid​
  [/TD]
  [TD]
  Sayyid Khalifa II bin Harub Al-Said​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  Sayyid Abdullah bin Khalifa Al-Said​
  [/TD]
  [TD]
  Sayyid Jamshid bin Abdullah Al Said
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 5. A

  ADK JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,147
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Shauri zao nauelewa wao mdogo
   
 6. A

  Albimany JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45

  Hii picha pembeni kwake lipo kanisa kubwa ila hukutaka kulionyesha, kwasababu hutaki kuushirikisha utumwa na ukristo.


  Hata muingize fitna gani muungano huu ni kama uji moto ni lazima mutautema tu.
   
 7. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kama znz ni nchi kisheria za kimataifa na muungano basi wanahaki ya kurudi kokote wanakotaka; why mind anyway??? kenya wakitaka kurudi chini ya mwingereza utasema wasirudi???
   
 8. m

  majebere JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Hapo naona mwarabu ni mmoja tu wengine wote ni wbongo wenye ndevu
   
 9. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Maalim Seif najua yuko kazini,tena anasapotiwa na Dr Ghalib Bilal nae hatakagi Muungano,,pamoja na kumficha Bara still anatokelezea tu
   
 10. a

  abdul 28 JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hao ni wazanzibar sio warabuu wacheni roho mbaya watanganyika yatakayo tukuta ni juu yetu nyinyi hayata kuhusuni wacheni kuwa wajinga lakini sishangai waziri mkuu wenu juzi tu amewacha kutawaza mavi kwa guruzi la muhindi so nyinyi bado mungali wanyama tu na chuki zenu kama wanyama chui na simba NI WAKATI UMEFIKA KUBAKI NA UJIRANI MWEMA SIO CHUKI TU HII MADA NI KAMA CHOO CHA KIKE BOOOOOOOOOOOO
   
 11. M

  Magwira JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ...Wewe umetoka kusumwa.Kwa sababu maneno yako ni machafu.Nenda kaendelee kusukumwa Dori ya nnn...! We
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu Islaam na si usultani. Usultani haukuwa Zanzibar tu. Mpaka huku kote, mpaka congo.

  Mbinu za kuutokomeza Uislaam Zanzibar zimestukiwa.
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hapa ninakumbuka ile nyimbo "Niimtakaye hataki, nisomtaka yu hoi", nikimaanisha kuwa, kuna baadhi ya Wazanzibar (waliotiwa kasumba) wanataka kutawaliwa lakini hakuna mtu yeyote mwenye akili yake timamu anayetaka kuitawala Zanzibar hasa kwa wakati huu, kwa karne hii. Enzi za biashara ya watumwa na faida za zao la karafuu zimepita, kwa hivyo mtu atake kuitawala Zanzibar kufuata nini?
   
 14. Imam Yussuf Shamsi

  Imam Yussuf Shamsi Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii mada haina mashiko, pumba tupu. Hata kuisoma inachosha.
   
 15. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Picha kama hizi hata kule Atlanta zipo tena nyingi tu, msitake kupotosha watu, UTUMWA ulienea kila PEMBE YA DUNIA. ukienda marekani kuna wamarekani weusi hawa walipelekwa na waarabu? , kote kote msiwapake matope waarabu na utumwa! na ulikomeshwa na watu waliokuwa wanataka haki za binadamu!

  Waingireza wareno na wazungu wengine walitembea dunia nzima kutaka makoloni kama watumwa lakini hawaonekani ila hapa ambapo waarabu ndio wamekuwa watu wabaya kabisa, na kisa kikubwa sio waarabu ni waislamu! nashangaa sana ! mwanzoni nilikuwa sina chuki ya kidini lakini tokea nimejiunga hapa JF nimekuwa na chuki sana na hawa wakristo kwa jinsi wanavokashif dini ya kiislamu na waislamu wenyewe kweli nashangazwa sana sana!
   
 16. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi kuna watu wana upeo wa kufikiri, chuki yote ni juu ya uislamu, na laiti kama zanzibar kungekuwa ni nchi ya kikristo leo tungekuwa tunaona tofauti humu JF, kama ilivokuwa Biafra ya Nigeria na Nyerere alivoshadadia wajitenge! kweli sijui tunaelekea wapi!

  wazanzibari wana kitu cha msingi cha kudai leo wanabezwa! makanisa yanachomwa nili kubadili maana halisi ya jambo lenyewe !
   
 17. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti gani, ni kama sisi tunavotawaliwa na magharibi bila wenyewe kujijua!
   
 18. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtoto akililia wembe mpe!!!
   
 19. patriq

  patriq Senior Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  we mkomatembo, usiwatie kiburi hao wazenji wataja lia acha waendelee kushadadia kuvunja muungano waone. Halafu visiwa vyenyewe vipo katika mpango wa kuzama siku zijazo acha wakubali kuuvunja waone
   
 20. 255Texter

  255Texter Senior Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe utapiga kelele mpaka utachoka. Weye na Wanzibari wenzio mtaendelea kutawaliwa na sie waTanganyika mpaka hapo tutapoamua kuaachia muwe huru. Na kama unatuita sisi wachamba kwa guruzi la mahindi, je nyie watumwa wetu mtakuwa mnatawadhia nini? Oh, nimekumbuka nyie mnachamba wima.
   
Loading...