Recent content by ummusalamat

  1. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Watoa semina wenyewe wamechoka hawafanani na hizo billionia Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

    Cava Bien
  3. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Sichangiagi harusi wala sendoff ya mtu, je mimi ni mbinafsi ama wa ajabu sana?

    Mmmh.kweli wewe nadhani unaishi maisha tofauti kabisa na watanzania wenzio.kwa ili tujenge ujamaa inabidi tusaidiane
  4. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Tambua ya kwamba mke wako anaamini utakufa kabla yake!!!

    Ni kweli kabisa wanawake wanalia watoto atamlelea nani kwa sababu raha ya watoto wapate malezi ya baba na mama
  5. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

    Angalia mambo ya msingi uliyoyafanya kwa hiyo miaka nane uliyopumzika ndipo utajua pombe ni hasara Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Nyumba za Kiziru zashangaza wengi/ Nshomile nimewanyooshea mikono

    Yapo mengi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

    Huo kweli ujasili.Hila kama unaelewa dini ya kiislam kuwa mume ana nafac nne nisawa kabisa.kwani kunawanawake ambao kazi zao kila siku ni za kusafiri. Kibiologia mwanaume hawezi kukaa cku 30 lakini wanawake wanaweza.ni bora mume aoe hila atambue kuwa wote ni wake zake na haki sawa kwa sawa.mimi...
  8. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Mchumba anapatikana Popote Hata Humu.

    Hakuna mahali specific pa kupata mchumba.kikubwa ni maelewano .niwengi saana wamakutana kwenye mitandao na ndoa zao zina aman na furaha tele
  9. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Mtag mwenye mikono yake!

    Haaa haaa haaa.hiyo kali
  10. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Mzungu umepitiliza!

    Kutoa msaada sio kwamba wewe umejitosheleza kwa kila kitu.hilo ni kama fungu la msaada
  11. ummusalamat

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

    Huku majohe viwege ni balaa hakuna pa kupita
Back
Top Bottom