Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

Hata unywe maji na maziwa kila siku mkuu jua tu you won't escape dealth. Ofcourse Deals nzito nzito na michongo yapesa frequently inakuwa discussed bar
Mods huu uzi ni invalid
 
Amri ya ngapi?
1Wakorintho6:9-11 ''9Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
11 Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu''
 
Nilijaribu kuacha pombe lakini hapana aisee Pombe ina sehemu yake katika maisha yangu
 
1Wakorintho6:9-11 ''9Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
11 Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu''
Yangeandikwa na mababu zangu ningeyaamini. Haya ya kuja kwenye boti na merikebu? Nani aliandika na nani shuhuda wa maandiko hayo. je Yesu alikuwa mjinga kutengeneza muujiza wake wa kwanza kule kanaani yaani wa mvinyo? Uyahudi ndo kunalimwa zabibu nzuri tu na mvinyo ni kinywaji bora kwa Mediterranean countries zote. Watu tunapata communio kwa mvinyo halafu unasema hayo. Sema ulevi ndo mbaya ila kunywa tutakunywa tu.

cc: Mrangi, mshana jr.
 
Hahaha ni kweli ulevi ni kama Uchawi once unaingia usitegemee kutoka
 
Hata niambiwe nakufa kesho leo siwezi acha kunywa pombe...maisha si lolote bila pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa hivyo basi Warusi ambao ndo wanaongoza kwa kunywa pombe kali wangekufa saana, Toka enzi za Yesu, Mababu pombe ilikuwepo, sema tu mfumo wa maisha ya siku hizi umesababisha miili ya watu wengi kushindwa kuhimili pombe sababu watu hawafanyi mazoezi kusaidia mfumo wa mwili kutoa sumu na viwango vya virutubisho vinavyozidi katika mwili ambacho hupelekea organs za mwili kufeli/kufa, ila ulimwengu bila pombe haiwezekani ndo burudani nzuri kuliko zote zilizopo.
 
Hahaha ni kweli ulevi ni kama Uchawi once unaingia usitegemee kutoka
Mimi siyo mlevi ni mnywaji ninayejitambua na ninayeendesha maisha kuliko hata hao walokole wanaoacha kutafuta pesa na kazi wanashinda makanisani na kwenye misikiti. Uchawi unaujua mwenyewe na sijui kama wachawi watakuelewa maana wengi wanauacha huo uchawi ila uzezeta wa kukumbatia dini bila maarifa ndo hatari.
 
Mmm sidhani mana wangeanza kuwachukia watengenezaji sigara kwakua mpaka onyo wanaandika kama ni hatari kwa afya, ila wao wala hawana wasi wasi Pombe haiachiki ni addiction
Kanywe maji saana tu tutakutana huko mbeleni. Isije wewe ukatangulia sisi wanywa pombe unaotuita walevi. Ukiangalia watu wanaoishi maisha marefu ni wataliano, wafaransa, wachina na hawa ndo wakata maji kuliko.
 
Ikishakukokolea unaona kama hivi ni vitisho tu vya kukutaka usinywe pombe,ila huko mbele ya safari lazima ukutane na hayo magonjwa...
 
1Wakorintho6:9-11 ''9Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
11 Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu''
Wala warafi.... Ukila sahani mbili za ubwabwa wakati kawaida yako ni moja... Huwezi fika mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom