Mtag mwenye mikono yake!

Mtag mwenye mikono yake!

Nawe pia mkuu hukunielewa,hiyo picha inafananisha mikono ya mtu na ndizi ila imechukuliwa kawaida tu na ndipo nikauliza mfano tungeweka picha ya mtu mweusi na tukaonganisha na picha ya tairi la gari je,unafikiri hali ingekuaje humu?
Well, ni hivi hiyo picha inaonesha matumizi mabaya ya mikorogo, kiasi kwamba vidole vimefikia hadi kufanana na ndizi zilivyo babuka,
So tupo hapa kukemea haya matumizi ya mikorogo!

Ndo maana ulipotoa mfano wako wa matairi ya gari nikashindwa kukuelewa, pengine ww unatetea haya
 
Mie sijatetea hayo ila najaribu kuonesha ni wapi tatizo linapoanzia maana watu weusi wengi hawaeleweki kuwa wanauchukulia weusi ni kama ulemavu au ni ngozi ya kawaida tu kama nyeupe na hakuna iliyobora kuliko mwenzie kati ya nyeusi na ngozi nyeupe?

Hawa hawa wenye kupinga mkorogo na kujivunia weusi ndiyo hucheka watu weusi sana.
 
Tupo pamoja mkuu, tuache kumkufuru mungu.
 
Ni kweli tupo pamoja mkuu ila kama leo itokee Mungu aseme mtu mweusi achague kubaki na ngozi nyeusi au ambadilishe awe na ngozi nyeupe basi nadhani ni wachache tu ndiyo watakaokubali kubaki na ngozi yao nyeusi.
 
Hhahhahaha, hili nahisi dongo hili
 
Back
Top Bottom