Recent content by Umkilo

  1. Umkilo

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Brock kapigwa sana, yaani kazidiwa Kwa kila kitu. Nadhani anezeeka, zama zake zimepita. Kawatia aibu sana mashabiki zake.
  2. Umkilo

    Mama ni mara 3 bora zaidi kuliko baba

    Kana kwamba baba alikataa kushika mimba!!? Kana kwamba baba alikuwa na maziwa akakataa kunyonyesha!!? Mara nyingi baba huwalea na kuwahudumia mama na mtoto katiba maisha yake yote (baba) ya kuwepo hapa dunia. Mimi Baba ndio ninajua mke na mtoto wale nini wavae nini, Mimi ndio najua wakiugua...
  3. Umkilo

    Allan Kiluvya anapaswa kuwa wa Mwisho Kutekwa, Tusichoke Kupaza Sauti

    Tamaa yenu ya kuona chuki ikijaa mioyoni mwetu wananchi inatupa hofu kuliko hofu ya watekaji. Kwani wanasiasa waliozishinda serikali kama hizi bila kujaza Watu chuki walitumia mbinu gani? Watu wanatekwa tunaona na kusikia siku wakija kuomba kura tutawauliza nyie hakikisheni uwazi tu kwenye...
  4. Umkilo

    Kuanzia leo sitowaamini tena watekwaji na watekaji, bora niendelee tu maisha yangu ya kupambana na umasikini

    Pengine kweli ni michezo, lkn unadhani nani mwenye jukumu la kuzima hiyo michezo? Serikali inayochezewa namna hii (kama) haihusiki ni serikali iliyoshindwa? Wewe upo nyumbani kwako mgeni aje ama mmoja miongoni mwa wanao hapo nyumbani kwako amfiche mwanao siku 3-10 amwachie Baba uchekelee eti...
  5. Umkilo

    Nimeota usiku kuwa wagombea ubunge kwenye jimbo la TL kwa upande wa chadema wamepigwa chini kwa kukosa sifa

    Cdm haitasimamisha mgombea, kusimamisha mgombea ni kukubali kuwa TL kafutwa kiharali
  6. Umkilo

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Watu wanaboa sana aisee
  7. Umkilo

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Hapa ndipo ninapowashangaa wabongo wewe umeshajua ni maigizo na hupendi maigizo lkn bado unaangalia huku unalalamika kama umelazimishwa si ufanye ish nyingine, uendelee na maisha yako bila wwe au uangalie mpira ndio real maisha yasonge? Kifupi huu ni ufupi wa mawazo, wivu na kijicho. Kutopenda...
  8. Umkilo

    Kigezo cha kuoa mwanamke ambacho watu wengi hawakitilii maanani lakini ni muhimu sana

    Si vyema na wala si haki kumhukumu mtu au kumpa adhabu mtu kwa makosa ya mtu mwingine. Yaani kama kaka yangu ni mwizi basi nisipate kazi sehemu yoyote sababu ipo siku atakuja ofisini kwangu ataiba? Kweli? Umetoa hoja nyepesi eti hao ndio watu wa karibu na maisha ya watoto wako ndugu Watu...
  9. Umkilo

    Shetani hajawahi kuwepo, Acheni uoga na masingizio!

    Pengine hujawahi kuona makubwa ya dini, but kila moja imefanya makubwa kwa upande wake.
  10. Umkilo

    Shetani hajawahi kuwepo, Acheni uoga na masingizio!

    Sasa kama nikifa ndio mwisho huo wema nafanya kwa manufaa gani? Kuna haja gani ya wema? Uwepo wa viumbe na dunia/ulimwengu kuna nadharia kubwa mbili ya kisayansi na ya uumbaji (hapa ndipo kuna Mungu na Shetani) Kwa usomaji na mafundisho niliyopitia nadharia zote mbili hazijitoshelezi hasa ya...
  11. Umkilo

    Membe: Huwezi kuwa mkristo zaidi ya warumi (kachero mbobezi anamaanisaha nini ktk kijembe hiki?)

    Ukitaka kuelewa vizuri anza nyuma kidogo anaanza kwa kusema 'napata tabu Sana kumjibu rostam hapaswi kuongelea personal issues huko tulishavuka anakuwa mzuri kwenye uchumi ajielekeze huko, Kwa lugha rahisi ni kuwa yeye membe na aziz wabaki kuwa washauri na sio wagombea tena au wakuchagua nani...
  12. Umkilo

    Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

    No, ataingiza vidole kwa now ileile ya daktari wa kiume,
  13. Umkilo

    Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Wanaume wa dar. Mwanaume kabisa lkn unajua kuwa flani halali na flani chumba kimoja!? Na hao unaowaongelea ni mme na mke.
Back
Top Bottom