Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

Hautishwi mdogo wangu. Tena Yakikufika ndio utakwenda kupanda mwenyewe kitandani na kuomba wakupime kama njia imeshafunguka ili uende kunakohusika ukamshushe mwanao.

Haikwepeki hiyo labda kama asemavyo mleta uzi kuje mbadala.
Mi nilijua kila ukienda clinic wanakutumbukiza
 
Baby dad wangu alikataa haya mambo akanitafutia daktari mmama.
Tena siku hizi madaktari wa kiume wajinga , ukienda hospitali unawaambia unaumwa tumbo chini ya kitovu ili wakupime mkojo, wanakwambia ulale wakuingizie mavidole.
Niligoma yakanianditia " patient refuse to be examined "sijui ndiyo hivyo.
Nikaondoka zangu, nilimwambia mpenzi wangu, nikageuka shujaa ndani ya nyumba
utakuja kufa na ushujaa wako
 
utakuja kufa na ushujaa wako
Nina daktari wa kike sasa hivi.
Lakini yule daktari ni tabia mbaya tuu, mbona nilienda hospitali nyingine nikaambiwa nipime damu na mkojo tuu unaweza kuwa typhoid au UTI.
sikuona sababu ya yeye kutaka kunitia vidole ndiyo maana.
 
Atakuwa kiwembe
 
Baby dad wangu alikataa haya mambo akanitafutia daktari mmama.
Tena siku hizi madaktari wa kiume wajinga , ukienda hospitali unawaambia unaumwa tumbo chini ya kitovu ili wakupime mkojo, wanakwambia ulale wakuingizie mavidole.
Niligoma yakanianditia " patient refuse to be examined "sijui ndiyo hivyo.
Nikaondoka zangu, nilimwambia mpenzi wangu, nikageuka shujaa ndani ya nyumba
Siku moja mama mtoto alinitaitisha twende kuchek sijui fibroids sijui nini huko mambo ya kina mama. Baada ya utra sound na mambo mengine mengi dk akasema anataka pia aingize na vidole. Sijui alikuwa anataka agundue nini???

Akanipa option naweza kusubiri au kutoka kupisha zoezi.

Nkapata ganzi. Akili ilivyorudi sawa nkamwambia dr sorry. Takuja siku ingine.
 
Ni vizuri kama ukimtafutia daktari wa kike kwa ajili yake. Yanakera haya mambo Shem ni basi tuu.
Enhee ukivyoondoka, ndiyo ikawa nitolee au ulirudi tena?
 
mtoa mada unataka watumie rungu la mpngo lenye kipenyo sawa na nyuchi,kadri nyuchi inavyofunguka basi unawekwa rungu lenye kipenyo sawa na nyuchi kwa wakati huo.
 
Hivi nyie Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama wajawazito tofauti na kudumbukiza mkono mzima kwenye vidudu vya wake zetu?

Hiyo njia yenu ya kuingiza mikono kwenye uke inawaumiza na inawakera wajawazito wengi sema tu hawana jinsi.

Tafuteni njia mbadala.

Kwa sasa iyo ndiyo njia iliyopo, na kama anahitaji vipimo ni lazima akubaliane na hali hiyo. Kama unaona tunawaumiza si kusudio la wataalamu kumumiza, lakini ikitokea basi avumilie tu, vinginevyo kama unaweza mpima, basi ufanye hivyo huko nyumbani ili asiguswe na mtu mwingine.
 
Hivi nyie Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama wajawazito tofauti na kudumbukiza mkono mzima kwenye vidudu vya wake zetu?

Hiyo njia yenu ya kuingiza mikono kwenye uke inawaumiza na inawakera wajawazito wengi sema tu hawana jinsi.

Tafuteni njia mbadala.
Tunaingiza vidole tukiona breki hakuna na mkono tunazamisha pia tunawapima copression kwa kugusa marinda yao ili wasitusumbue muda wa kuzaa, WALETENI KWA WINGI WAKE ZENU by Dr.kidevu
 
Back
Top Bottom