malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,638
Biashara zilizpfingwa ni 16,400, na zilizofunguliwa ni 143,000, waziri ametoa hiyo idadi, mbona unamnukuu waziri upande mmoja?.
Hivi duniani watu hawafii?, mbona bado idadi ya watu duniani inazidi kuongezeka pamoja na kwamba kuna watu wanakufa?.
Mkuu usije ukawa unachukua takwimu za wamachinga wa vitambulisho.
Maana hali ni tete mitaani sisi tunaona kama watawala wanatubeza kwa maana kama kuna hali mbaya , Ukosefu wa ajira zaidi ya 70% ya wizara za JMT zimepata pesa za bajeti ya mwaka 2017/18 kwa chini 50%. hospitali hakuna dawa na vifaa na watu kulazimishwa kujiunga na Bima ya Afya.
Halafu tunazozana kwamba uchumi unakuwa kwa 7+% na ni kati ya nchi 5 bora kwa uchumi.
Kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!