Mama ni mara 3 bora zaidi kuliko baba

zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
10,480
Points
2,000
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
10,480 2,000
Baba asiejua majukumu ndio wa hovyo, ila ambae anawapenda na kuwajibika juu yenu ni sawa tu na mama.
Mama hawezi kuwa Sawa na baba...

Mama.. Anakuweka miezi tisa tumboni(baba hawezi)
Mama... Anakuzaa kwa uchungu (baba hawezi)
Mama... Anakulea mpaka unakuwa na kukunyonyesha.... Halali atakesha na wewe pindi baba anakoroma mama anahangaika kubembeleza mtoto
Hapo huwezi kusema baba na mama ni Sawa huwezi
 
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2019
Messages
623
Points
500
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2019
623 500
Sasa hayo ni maneno ya mudi siyo lazima yawe sheria. Kuna wengine wanawathamini baba zao kwasababu mama zao waliwatelekeza walipozaliwa...
 
Umkilo

Umkilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Messages
469
Points
500
Umkilo

Umkilo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2018
469 500
MTUME MUHAMMAD اصلا الله عليه وسلم ALIPATA KUULIZWA NA SWAHABA WAKE JUU YA "Ni yupi wa kutendewa wema zaidi katika wazazi wangu wawili na ndugu zangu?, akajibu 'Mama Yako', akaulizwa nani mwingine?, akajibu tena 'Mama yako', Muulizaji akauliza tena nani mwingine?, Mtume akajibu tena ' MAMA YAKO', Yule bwana akauliza tena NANI MWINGINE, Kisha Mtume Akajibu 'Baba Yako'...?"

TUMEZIONA DARAJA TATU ZA MAMA ZAIDI YA BABA...YAANI GOLD, SILVER NA BRONZE...

DARAJA TATU ZA MAMA.
1. MAMA ALIBEBA MIMBA PEKEE YAKE BILA MSAADA WA BABA.

2. MAMA ALIPATA HARAKATI ZA KUZAA PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.

3. MAMA ALINYONYESHA MTOTO PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.

DARAJA YA BABA.
*BABA ALICHANGIA TU KATIKA MALEZI NA MAMA.

Kwetu sisi wanaume: Kumtendea wema MKEO NI WAJIBU WAKO, NI DHAMBI UTAULIZWA USIPOFANYA HIVYO.

ILA USIPOMTENDEA WEMA MAMA YAKO, HUTOUONA WALA KUPATA HARUFU YA UFALME WA MBINGUNI...YAANI PEPO ZETU ZIPO CHINI YA MIGUU YA MAMA ZETU...UKIMRIDHISHA MAMA KATIKA WEMA NA UKAMTENDEA WEMA BASI WEWE UMEFAULU KUIPATA PEPO...!

TUWARUHUSU WAKE ZETU WAPATE FURSA YA KUPATA RADHI ZA MAMA ZAO...JAPO WANAWAJIBIKA ZAIDI KWETU KIMAMLAKA...ILA HAKI ZA MAMA ZAO HATUWEZI ZISHUSHA...!

TUWATENDEE WEMA WAZAZI WETU WAWILI...ILA TUSIMLINGANISHE MAMA NA VIUMBE VIUNGE...THAMANI YA MAMA NI KUBWA MNO...NI NGUMU SANA KUILINGANISHA NA KIUMBE CHOCHOTE...!
Kana kwamba baba alikataa kushika mimba!!?

Kana kwamba baba alikuwa na maziwa akakataa kunyonyesha!!?

Mara nyingi baba huwalea na kuwahudumia mama na mtoto katiba maisha yake yote (baba) ya kuwepo hapa dunia.

Mimi Baba ndio ninajua mke na mtoto wale nini wavae nini, Mimi ndio najua wakiugua watibiwe hospitality gani na pesa ya malipo itoke wapi,

Mimi ndio nimewatengenezea nyumba na sasa wanapaita kwao, kitanda, godoro, chandarua na mashuka Mimi ndio hununua na kula yanapokwisha na nunua tena.

Mimi ndio nitaacha ulithi wa jina, Mali elimu na kila kitu.

Likija baya nyumbani kwa mama na mtoto Mimi (baba) ndio gao yao niue kwanza ndipo uwaguse but NO ONE CAREERS
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
19,743
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
19,743 2,000
MTUME MUHAMMAD اصلا الله عليه وسلم ALIPATA KUULIZWA NA SWAHABA WAKE JUU YA "Ni yupi wa kutendewa wema zaidi katika wazazi wangu wawili na ndugu zangu?, akajibu 'Mama Yako', akaulizwa nani mwingine?, akajibu tena 'Mama yako', Muulizaji akauliza tena nani mwingine?, Mtume akajibu tena ' MAMA YAKO', Yule bwana akauliza tena NANI MWINGINE, Kisha Mtume Akajibu 'Baba Yako'...?"

TUMEZIONA DARAJA TATU ZA MAMA ZAIDI YA BABA...YAANI GOLD, SILVER NA BRONZE...

DARAJA TATU ZA MAMA.
1. MAMA ALIBEBA MIMBA PEKEE YAKE BILA MSAADA WA BABA.

2. MAMA ALIPATA HARAKATI ZA KUZAA PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.

3. MAMA ALINYONYESHA MTOTO PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.

DARAJA YA BABA.
*BABA ALICHANGIA TU KATIKA MALEZI NA MAMA.

Kwetu sisi wanaume: Kumtendea wema MKEO NI WAJIBU WAKO, NI DHAMBI UTAULIZWA USIPOFANYA HIVYO.

ILA USIPOMTENDEA WEMA MAMA YAKO, HUTOUONA WALA KUPATA HARUFU YA UFALME WA MBINGUNI...YAANI PEPO ZETU ZIPO CHINI YA MIGUU YA MAMA ZETU...UKIMRIDHISHA MAMA KATIKA WEMA NA UKAMTENDEA WEMA BASI WEWE UMEFAULU KUIPATA PEPO...!

TUWARUHUSU WAKE ZETU WAPATE FURSA YA KUPATA RADHI ZA MAMA ZAO...JAPO WANAWAJIBIKA ZAIDI KWETU KIMAMLAKA...ILA HAKI ZA MAMA ZAO HATUWEZI ZISHUSHA...!

TUWATENDEE WEMA WAZAZI WETU WAWILI...ILA TUSIMLINGANISHE MAMA NA VIUMBE VIUNGE...THAMANI YA MAMA NI KUBWA MNO...NI NGUMU SANA KUILINGANISHA NA KIUMBE CHOCHOTE...!
Aisee.... THAMANI YA BABA HAIONEKANI....
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
32,002
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
32,002 2,000
Ilhali baba huyo huyo ana hangaika usiku mchana. .Jua kali .Masika kuhakikisha Mama na mwana wana ishi katika maisha Mazuri na salama. ...Sometimes huwa baba anatafuta riziki katika mazingira hatarishi yanayo weza kuondoa hata uhai wake lakini he doesn't care anachojali yeye ni kuona anafanikisha dhamira ya familiar yake kupata mahitaji yote ya lazima na Yale ya ziada

Aise hebu mtuache kidogo ama mtupatie heshima yetu inavyo stahiki -maana huwa hamjui tabu ambazo huwa tuna pitia Katika utafutaji '
Mama hawezi kuwa Sawa na baba...

Mama.. Anakuweka miezi tisa tumboni(baba hawezi)
Mama... Anakuzaa kwa uchungu (baba hawezi)
Mama... Anakulea mpaka unakuwa na kukunyonyesha.... Halali atakesha na wewe pindi baba anakoroma mama anahangaika kubembeleza mtoto
Hapo huwezi kusema baba na mama ni Sawa huwezi
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
32,002
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
32,002 2,000
Huo msemo si-ulitungwa na watu kama mimi na wewe tu '' so Maoni yao yanaweza kuwa sio sawa kwa namna moja ama nyingine ''Je Haujawahi kujiuliza labda huo msemo ulitungwa na mtu/watu wenye jinsia ya kike wenye lengo la kujifanyia double standard na kutokomeza heshima ya mwanaume -- kama hivi ambavyo Tuna jionea hii leo jinsi heshima ya baba ilivyo sambaratishwa? !!
Kila mmoja ana nafasi yake

Ila Mama ni Zaidi

Chief Mshana Jr
Hujasikia ule msemo

NANI KAMA MAMA?!!!
 
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Messages
3,106
Points
2,000
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2019
3,106 2,000
Acha kufananisha Baba na viumbe pekee vilivyoongea na shetani bustanini Eden, tena ni dhaifu sana kupita maelezo
Baba asiejua majukumu ndio wa hovyo, ila ambae anawapenda na kuwajibika juu yenu ni sawa tu na mama.
 
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Messages
3,106
Points
2,000
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2019
3,106 2,000
Pambane na laana zenu tena msisikiwe kabisa na mwenye mamlaka juu ya Binadamu wote"MUNGU"
Mama hawezi kuwa Sawa na baba...

Mama.. Anakuweka miezi tisa tumboni(baba hawezi)
Mama... Anakuzaa kwa uchungu (baba hawezi)
Mama... Anakulea mpaka unakuwa na kukunyonyesha.... Halali atakesha na wewe pindi baba anakoroma mama anahangaika kubembeleza mtoto
Hapo huwezi kusema baba na mama ni Sawa huwezi
 
13 mega pixel

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Messages
6,303
Points
2,000
13 mega pixel

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2013
6,303 2,000
Eti mwanamke anabeba mimba miezi 9, ananyonyesha mnataka wanaume wafanye majukumu yenu ya kiasili, mwanamke uwepo wapo duniani ni kuzaa tena kwa uchungu haswaa, na kumsaidia mwanaume unless otherwise uniambie baba kakimbia majukumu yake ndio umlinganishe na mama, wazazi wote ni sawa ila baba ndio mwenye uzao, mwenye mji
 
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Messages
3,106
Points
2,000
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2019
3,106 2,000
Ilhali baba huyo huyo ana hangaika usiku mchana. .Jua kali .Masika kuhakikisha Mama na mwana wana ishi katika maisha Mazuri na salama. ...Sometimes huwa baba anatafuta riziki katika mazingira hatarishi yanayo weza kuondoa hata uhai wake lakini he doesn't care anachojali yeye ni kuona anafanikisha dhamira ya familiar yake kupata mahitaji yote ya lazima na Yale ya ziada

Aise hebu mtuache kidogo ama mtupatie heshima yetu inavyo stahiki -maana huwa hamjui tabu ambazo huwa tuna pitia Katika utafutaji '
Sasa kama Mawatu yanashindana hadi na Mungu kwa kuukosoa uumbaji wake kwao(hayaridhiki wala kuona umuhimu wao kwetu Me) Me tutaonekana tuna thamani juu ya Ke

Yaache yajipandishe mavyeo tu juu lkn Mungu alishaturasimisha sisi ni viumbe bora, ndiyomaana tukapewa mamlaka ya uongozi ktk familia/ndoa zetu
 
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Messages
3,106
Points
2,000
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2019
3,106 2,000
Kabisa Chifu, Wazee wa "Feminism systems/mifumo jike"
Huo msemo si-ulitungwa na watu kama mimi na wewe tu '' so Maoni yao yanaweza kuwa sio sawa kwa namna moja ama nyingine ''Je Haujawahi kujiuliza labda huo msemo ulitungwa na mtu/watu wenye jinsia ya kike wenye lengo la kujifanyia double standard na kutokomeza heshima ya mwanamke -- kama hivi ambavyo Tuna jionea hii leo jinsi heshima ya baba ilivyo sambaratishwa? !!
 
Forum statistics

Threads 1,315,263
Members 505,171
Posts 31,851,760
Top