Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hahaha,,, huyo paul ni mpambe mbaya sana huwa anamtia ukichaa brock lesner,,, ila usisahau mkanda wa intercontinental seth aliuchukua kwa brock huyo huyo kabla ya kunyanga'nywa tena
Lini? Brock Lesnar kaacha kumua mtu
 
He promised he would do it, and he DID! @WWERollins is your NEW #UniversalChampion!!!

#AndNew #UniversalTitle #SummerSlam @HeymanHustle @BrockLesnar https://t.co/OuVd9Uymfy
IMG_20190812_053619.jpeg
 
Tunaomba na Matokeo ya mechi zingine,
Wengine huku hatunaga ubavu wa kusubiri mechi usiku mnene hivyo huwa tunasubiri marudio
 
Brock kapigwa sana, yaani kazidiwa Kwa kila kitu. Nadhani anezeeka, zama zake zimepita.

Kawatia aibu sana mashabiki zake.
 
Back
Top Bottom