Recent content by umerogwa wewe

  1. umerogwa wewe

    JamiiForums Tanzania Naona Rais Magufuli anataka kufuta kabisa ajira zisizo rasmi nchini

    Kaletwa na Mungu huyu
  2. umerogwa wewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananilazimisha kinyume Na maumbile

    Huyo mwanamke ameshajifunza sasa kakubuhu, na kawaida ya ule mchezo hawezi kuacha maana wataalam wanasema huwa kama kuna vitu vinamtekenyatekenya. Sent from my EVA-L09 using JamiiForums mobile app
  3. umerogwa wewe

    JamiiForums Tanzania Natafuta KIKI ya Pikipiki yangu aina ya Honda 110

    Nenda kariakoo kwa Said utapata
  4. umerogwa wewe

    JamiiForums Tanzania Maajabu Marekani imesaini Mkataba wa kuiuzia Qatar Ndege za Kivita aina ya F-15 kwa $12billions

    Sijui Saudi Arabia anajisikiaje hapo.
  5. umerogwa wewe

    JamiiForums Tanzania Sababu tano(5) kwanini unapata pesa lakini huna maendeleo

    (5)Unabeba majukumu ya watu
  6. umerogwa wewe

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Dude limeamshwa
  7. umerogwa wewe

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu waonee huruma watanzania hawa wanyonge

    Mwaka wa fedha 2017/18 mtaitwa kazini. Ondoa shaka
  8. umerogwa wewe

    JamiiForums Tanzania Nadhani bado sijaelewa kuhusu hii kodi ya majengo

    Mimi nyumba yangu mwakajana ilipigwa X nikawapeleka mahakamani nikawashinda. Mwaka huu wameniletea hiyo hati ya Madai, je niwalipe??? Ila sitawalipa
  9. umerogwa wewe

    JamiiForums Tanzania Uhakiki mpya watumishi idara za Afya na Elimu kutumia mfumo wa NIDA umewadia

    mbona mbali saana five years????
  10. umerogwa wewe

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Usalama Barabarani hamuwezi kufanikiwa kwa kuwadhulumu wananchi

    Ndugu zangu askari usalama barabarani kuweni na huruma. Mjue mna maadui wengi sana kama mnanibishia sawa. Mnajitafutia laana za bure.
Back
Top Bottom