Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Kiki ya Pikipiki yangu aina ya Honda 110 imevunjika na imevunjikia sehemu ambayo haiwezekani kuchomelea, nimezunguka maduka kadhaa sijapata, naomba kuelekezwa maduka ya Dar ambapo naweza kupata.
Heshma kwenu.
Heshma kwenu.