Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Kufuatia jitihada zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania kuhusu udhibiti wa rasilimali madini na hususan mchanga wa dhahabu,mchora Katuni Godrey Mwampembwa maarufu Gado anatoa mtazamo wake kupitia mchoro ufuatao!akili kichwani mwako