Recent content by umas

  1. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamtaka Rais Magufuli azingatie sheria kwenye utumbuaji majipu

    Mbowe tangu abadili gear angani basi akibadili na tabia zetu wana UKAWA. Hivi UKAWA leo ni wa kutetetea watu kusimamishwa wakati walilia lia na serikali "dhaifu" iliyopita. Kweli Punda yake mateke
  2. U

    JamiiForums Tanzania Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Sasa umefanya utafiti gani wakati ukipambanishwa kwa hoja unaleta visingizio
  3. U

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

    1.UDSM 2. SUA 3. MZUMBE 4. KSMC 4. MUHAS 5.BUGAMDO 6. TEOFIL KISANJI 7. RUCO
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa NIGERIAN movies

    Marriage of Sorrows starring Ngozi Ozeunu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Hii ndio SERA KUBWA ya Magufuli! Kama hujui!

    Ukawa kama demu vile! EL alipokuwa anapekeka hela ugambani alikuwa anapondwa vibaya mno. Leo hii anataka apeleke nabilion kwao, ghafla kawa msafi. Nawashangaa sana wana ukawa wenye mentality kama hizi. Lazima tuwe na consistence kama tunauchukia ufisadi basi tuukemee hadi siku ya mwisho
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kufukuzwa CHADEMA

    Watu wanapiga hela chadema wanawafukuza majembe yahayowapinga wajinga tunashangilia tu. Hebu angalia uenyekiti wa kifamilia na ma baba mkwe! lol
  7. U

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani

    Your very right my dear! ZZK is very right too. Hata hao kina slaa sio wakuwaamini 100%. Yuko wapi Amani Kaburu wa kigoma mjini. watu walimuabudu kama Mungu wa CDM. Alikihama chama watu wakapagawa. leo hii ni mwenyekiti wa CCM wa mkoa Kigoma anakula kuku kwa mrija. Kuweni makini na wanasiasa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania LL.B 1st class holder

    Jamani mie simshangai sana kabisa! Tena kwe elimu yetu ya kibongo na vyuo vinavyomea kila kukicha kama uyoga Hata bila walimu ili tu vipate pesa za bodi ya mkopo, si ajabu kuwa na first class ya madesa ambayo ni sawa na third class ya uhalisia. Mie nilishudia jinsi watu wawili awiliokua na first...
  9. U

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Siku yaja ambapo amani iliyotawara kwa miaka mingi itakua historia. Tutayakumbuka haya matukio yote kama vyanzo vya kupotea kwa amani yetu, tena wakati huo si mabli kama tutaendelea hivi.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

    Kama ni kweli kuna hatari huko tuendako na future yetu kama nchi
Back
Top Bottom