kiliochangu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 1,152
- 886
Kama umesoma vyema hapo juu nadhani utakuwa umenielewa...waalimu wengi kama sio wote uwezo wao ni mdogo nikatoa na sababu tatu zinazopelekea mtu kuingia ualimu...hivyo kama ulisoma ualimu mwaka 2007 ukapata two ukaenda ualimu maybe ni sababu mbili zingine kama ni kweli
Tatizo lako umeoanisha neno uwezo wa akili na passing of national examinations. Sio wote wanaoshindwa ktk masaa 3 ya kutahiniwa somo wana uwezo mdogo. kuna many factors zinazoweza fanya mtu hasifanye vema kwenye mtihani. national exams kwanza sio reliable na valid measure ya kupima uwezo. hapo ndio ulipo ingia mkenge na kufikiri unachofikiri umekifanyia upembuzi yakinifu. Wapo walimu kwenye fani ya ualimu ni wazuri na wana uwezo mkubwa ila wali kosa opportunities za kudevelep potentials zao katika hatua fulani wakiwa mashuleni tokana na background zao au kukwamishwa na mzimu wa mitihani. Ingawa kweli pia wapo kundi la walimu ambao sio wazuri waliingia huko tokana na goli kupanuliwa kukawa ni mahali pa kuponea. kama hao walimu kama wana uwezo mdogo waliwezaje kukusaidia wewe hata ukafikiri umefanya utafiti. je hao maproffessor na ma-doctors si wamefundishwa na walimu unaofikiri wanao uwezo ndogo mpaka wakafikia hatua hizo?