Radiation
Platinum Member
- May 28, 2013
- 332
- 293
kama wewe ni mpenzi wa nigerian movies je ni muvi gan ambayo uliiangalia au ipo sokoni na umeipenda....
Share hapa movie unayoikubali ili na wengine waitafute..pia taja na character mmoja uliyemkubali kwenye hio movie
mimi niliipenda sana BEAUTY AND BEAST na mzee Olu Jacob's katisha sana..