LL.B 1st class holder

LL.B 1st class holder

Kaka kusoma miaka mi3 au mi4 cyo determinant ya kuwa mkali LL.B instead ni mtaala tu wa chuo husika wanavyoupanga, wewe ungekua msomi ucngekurupuka kuandika mashudu kama haya, kwa taarifa tu ni kwamba ili degree itimie na kuna idadi ya units kadhaa kama ckosei ni 360 ambazo zinapatkana ktk masomo principal na electives ambayo mwanafunzi anasoma chuoni (kwa kozi nzima ya LL.B in Common Law countries principal subjects ni 36 na kila somo lina units 10 kwahiyo 36 ¤ 10 = 360 units ambazo ndio znakamilisha Degree, ila ukikuta chuo kinaamua kuongeza masomo pia haijakatazwa ila 36 ndio Lazima)
Mzumbe for example wao ni miaka 3 na kwa semester wanasoma masomo 6 so mara semester 6 ni masomo 36 tayari, Udsm na SAUT on the contrary wanasoma less than 6 subjects kwa semester sasa mathematically tu unahic watamaliza masomo yote 36 ndani ya miaka 3!!? Ndio maana wanaongezea mwaka wa 4 lakini haimaanishi kwamba eti huo extra year ndio wanapewa nondo za kuwatofautisha na vyuo vingine hamna kitu inshort hamna ulichosoma ww mtu wa miaka 4 ambacho mwenzio aliesoma miaka 3 hajakisoma!, acha nonsense uwe mdadisi cku nyingine na for the record kwa taarifa yako hvyo vyuo unavyovijua wewe kwamba ndio top duniani kama Harvard, Cambridge, Oxford, Princeton na Duke University na vingine kibao hapahapa Africa esp vya South Africa na Kenya LL.B ni miaka 3, jitahid kumeza hivyohivyo hata kama ya uchungu!
Umeandika kwa hasira ndo alikuwa kipanga wenu nini? Siwezi meza upuuzi ka huu kwa taarifa yako mi siwezi kusoma kozi za kina mama nimemuachia mama yeyooooo.
 
Hahah maneno ya mkosaji hayo huna jipya wewe, wenzako wakielimishwa huwa wanasema asante sasa wewe unatema mapovu unatapatapa sema asante nilikua cjui tofauti ya LL.B miaka 3 na miaka 4, upuuzi huo, na huyo mama yeyoo wako akifanikiwa kuwa wakili akisimama court daily atashindwa kesi coz unamuambukiza umbumbu wako by induction!
 
Umeandika kwa hasira ndo alikuwa kipanga wenu nini? Siwezi meza upuuzi ka huu kwa taarifa yako mi siwezi kusoma kozi za kina mama nimemuachia mama yeyooooo.

Na by the way nimesoma Makerere cjasoma Tumaini University, na Mtanzania!
 
Kaka kusoma miaka mi3 au mi4 cyo determinant ya kuwa mkali LL.B instead ni mtaala tu wa chuo husika wanavyoupanga, wewe ungekua msomi ucngekurupuka kuandika mashudu kama haya, kwa taarifa tu ni kwamba ili degree itimie na kuna idadi ya units kadhaa kama ckosei ni 360 ambazo zinapatkana ktk masomo principal na electives ambayo mwanafunzi anasoma chuoni (kwa kozi nzima ya LL.B in Common Law countries principal subjects ni 36 na kila somo lina units 10 kwahiyo 36 ¤ 10 = 360 units ambazo ndio znakamilisha Degree, ila ukikuta chuo kinaamua kuongeza masomo pia haijakatazwa ila 36 ndio Lazima)
Mzumbe for example wao ni miaka 3 na kwa semester wanasoma masomo 6 so mara semester 6 ni masomo 36 tayari, Udsm na SAUT on the contrary wanasoma less than 6 subjects kwa semester sasa mathematically tu unahic watamaliza masomo yote 36 ndani ya miaka 3!!? Ndio maana wanaongezea mwaka wa 4 lakini haimaanishi kwamba eti huo extra year ndio wanapewa nondo za kuwatofautisha na vyuo vingine hamna kitu inshort hamna ulichosoma ww mtu wa miaka 4 ambacho mwenzio aliesoma miaka 3 hajakisoma!, acha nonsense uwe mdadisi cku nyingine na for the record kwa taarifa yako hvyo vyuo unavyovijua wewe kwamba ndio top duniani kama Harvard, Cambridge, Oxford, Princeton na Duke University na vingine kibao hapahapa Africa esp vya South Africa na Kenya LL.B ni miaka 3, jitahid kumeza hivyohivyo hata kama ya uchungu!

ELABORATIONs:
Core courses ni sawa eitha 4 o 3yrz! Ila wa 4 yrz wana advantage,kwa upande wa ELECTIVES nyingi,mfano: soco security law,Int.humantarian law,law of th sea,law of the chld,int.criminal law..so wa 4 yrz anakua mpana sana ,awa 3yrz wanakaza sana..wanasoma v2 vya muhimu zaid,ila optns co sana! Ao wa miaka 5..wanakua wanapga ad clinicals,mutkots etc..ts mo advntgs to em..
That y Law xul of Tanzania wameeka 16 core course kila mwanafunz wa sheria awe ameshasoma ndo wapate admissn,na izo courses ni common vyuo vyote!

Source:
Mimi mwenyewe,graduand wa udsm..and thoz 4 yearz ar so worthy..compared to 3 yearz..Dunia imekua,field za law zmeongezeka..we nid to learn by goin extra mile,kugusa maeneo mengne kama Capital markets and securty law..ipo udsm peke ake! Viva Mlimani
 
Wale wa miaka mitatu wanatumia SEMESTER SYSTEM katika kufanya mitihani na Wale wa miaka minne wanatumia ANNUAL SYSTEM. Katika ANNUAL SYSTEM mwanafunzi huchukua masomo tisa ambayo anafanyia mtihani mwsho wa mwaka. Wakati SEMESTER SYSTEM mwanafunz huchukua masomo 6 na hufanyia mtihani kila mwsho wa semester. Hvyo kwa mwanafunz wa miaka minne anahitaji miaka 4 ili kumaliza course 36(9 x 4) wakati wa miaka mitatu atafanya course 36 kwa miaka mitatu (6x2x3)ambayo ni kozi 36.
Very talented 1st class wakati mnasoma miaka 3? Rudi shule kamalizie wenzako wanapiga 5 wewe kilaza. Anyway ndo shida ya vyuo vya kata wakina Mulugo kibao?
 
Wale wa miaka mitatu wanatumia SEMESTER SYSTEM katika kufanya mitihani na Wale wa miaka minne wanatumia ANNUAL SYSTEM. Katika ANNUAL SYSTEM mwanafunzi huchukua masomo tisa ambayo anafanyia mtihani mwsho wa mwaka. Wakati SEMESTER SYSTEM mwanafunz huchukua masomo 6 na hufanyia mtihani kila mwsho wa semester. Hvyo kwa mwanafunz wa miaka minne anahitaji miaka 4 ili kumaliza course 36(9 x 4) wakati wa miaka mitatu atafanya course 36 kwa miaka mitatu (6x2x3)ambayo ni kozi 36.
ELABORATIONs:
Core courses ni sawa eitha 4 o 3yrz! Ila wa 4 yrz wana advantage,kwa upande wa ELECTIVES nyingi,mfano: soco security law,Int.humantarian law,law of th sea,law of the chld,int.criminal law..so wa 4 yrz anakua mpana sana ,awa 3yrz wanakaza sana..wanasoma v2 vya muhimu zaid,ila optns co sana! Ao wa miaka 5..wanakua wanapga ad clinicals,mutkots etc..ts mo advntgs to em..
That y Law xul of Tanzania wameeka 16 core course kila mwanafunz wa sheria awe ameshasoma ndo wapate admissn,na izo courses ni common vyuo vyote!

Source:
Mimi mwenyewe,graduand wa udsm..and thoz 4 yearz ar so worthy..compared to 3 yearz..Dunia imekua,field za law zmeongezeka..we nid to learn by goin extra mile,kugusa maeneo mengne kama Capital markets and securty law..ipo udsm peke ake! Viva Mlimani
 
Vyuo vyote vimethibitishwa na mamlaka husika ndio maana vikasajiliwa! Na elimu ya vyuo vyooote ipo standard! Pia kusoma miaka 5 sio inshu. Muda standard wa degree dunia nzima ni miaka 3. Hawa wanaochangia kwa chuki na si kwa hoja ni wahanga tu opportunity waliozoea ule wimbo "chuo ni UDSM tu. Naomba waamke na wajitambue. Vyuo vyote kuna vilaza na wanaojituma ni mtu binafsi na si chuo. Baada ya miaka 20 tutaona kati ya private na pub Univst!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
natafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice

Huyu bwana anatafuta kazi. Ili mtu apate kazi lazima apitie katika uaili. Mngemuita mmupime muone kama anafaa au la ndo muanze kumsema. Pengine yawezekana bado ni mwanafunzi wa sheria aneota kupata first class, then anapima upepo kwanza kwamba itakuaje akipata hiyo first class. Ila kwa vile anatuchezea akili, nasema Pumbaf!
 
natafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice

Unasema wewe ni graduate na very talented in law practice - uzoefu uliupata lini? Au ni zile moot.. Kama wewe ni 'talented' kweli weka 'extract' ya barua yako ya maombi ya kazi hapa jamvini kwa kiingereza- usiweke jina wala anuani kwa kifupi then tukwambie.. usitumie 'google', tutajua tu..
 
soma miaka yako yoote.ila maneno ni kwenye practice.
'
 
Wale wa miaka mitatu wanatumia SEMESTER SYSTEM katika kufanya mitihani na Wale wa miaka minne wanatumia ANNUAL SYSTEM. Katika ANNUAL SYSTEM mwanafunzi huchukua masomo tisa ambayo anafanyia mtihani mwsho wa mwaka. Wakati SEMESTER SYSTEM mwanafunz huchukua masomo 6 na hufanyia mtihani kila mwsho wa semester. Hvyo kwa mwanafunz wa miaka minne anahitaji miaka 4 ili kumaliza course 36(9 x 4) wakati wa miaka mitatu atafanya course 36 kwa miaka mitatu (6x2x3)ambayo ni kozi 36.

Huyo Jamaa ni Pro-UDSM so kashamezeshwa hzo propaganda zao za kujikuta wako juu kwa kila ki2 and watever they r doing is right, he spoke of electives cjui nani kamwambia vyuo vingine Electives hawana!!?
 
Jamani mie simshangai sana kabisa! Tena kwe elimu yetu ya kibongo na vyuo vinavyomea kila kukicha kama uyoga Hata bila walimu ili tu vipate pesa za bodi ya mkopo, si ajabu kuwa na first class ya madesa ambayo ni sawa na third class ya uhalisia. Mie nilishudia jinsi watu wawili awiliokua na first class tena mmoja alikua na 4.7 GPA ya chuo kimoja huko Arusha walivyoshindwa kujieleza wakati wa usairi wa kuomba kazi pale UDOM na wakafeli vibaya mno.
 
Nchi yetu ni masikini na inanuka rushwa, viongozi wengi wamesoma UDSM. Kwa hiyo kwa maana nyingine UDSM imeshindwa kabisa kutoa wahitimu wanaoweza kutatua matatizo ya nchi hii na imezalisha viongozi wengi wala rushwa, wavivu kufikiri n.k.
 
Kwani wew Janjapori hujapata kazi mpaka leo hii? Manake uliomba kazi 2011 mpaka 2013 kweli bado hujapata?
 
Nchi yetu ni masikini na inanuka rushwa, viongozi wengi wamesoma UDSM. Kwa hiyo kwa maana nyingine UDSM imeshindwa kabisa kutoa wahitimu wanaoweza kutatua matatizo ya nchi hii na imezalisha viongozi wengi wala rushwa, wavivu kufikiri n.k.

Tatizo si UDSM per se kwani matatizo uyasemayo yapo pia katika vyuo vingine. Tatizo ni namna tunavyofikiri, namna tunavyokuzwa kielimu na kimaadili, namna tunavyopata 'exposure' na namna wahadhiri wetu wanavyotugawia maarifa.. Nikitoa mfano -Universities za Kenya( hasa vitengo vya Biashara) zimetengeneza 'clubs' na viongozi wa biashara ( business leaders kama akina Bobby Collymore wa Safaricom, Mwangi wa Equity Bank n.k) ili ku-tap uwezo wa hawa magwiji wa biashara kwa wanafunzi wao. Kwa hiyo hawa magwiji hutoa mihadhara mbalimbali vyuoni kwa wakati maalum kuwaongezea uzoefu wanafunzi. Vyuo vyetu vinafanya nini ku-tap ujuzi wa biashara wa akina Ali Mufuruki wa W-store, Elangalloor wa Airtel,Rene Meza wa Vodacom n.k?
 
Kwa hiyo hao wenye first class wana akili kama NEWTON au Albert Einstein?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom