Waliowahi kufukuzwa CHADEMA

Ili mwanachama wa Chadema afukuzwe chamani, huwa anakuwa kakiuka mambo yapi yasiyoonyeka?

Msaliti, sehemu nyingine anauawa hadharani. Kama mnapanga mpango unaofadhiliwa na MaCCM, mnategemea mkishafanikiwa mtamtumikia nani?
 
umejaribu kutoa majibu mepesi kwa swali gumu
ila ukweli ni kwamba ndani ya chadema shilingi imesimama.
 
kabourou hakufukuzwa cdm aliondoka mwenyew kwa tamaa ya ubunge wa EAC baada ya kushindwa ubunge wa kgm mjini na peter serukamba 2005
wangwe pia mauti yalimkuta akiwa kasimamishwa uongoz na sio kufukuzwa!
yakuambiwa na lissu changany na zako!
 
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.

HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA

MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Katika hao 19 Wakristo 15 na Waislam ni wa 4 tu. Kweli Chadema ni chama cha Wakristo
 
Chase a ni chama makini ila nawaomba migongano haikoc wakae chin ili kujadili maovu na kuyamaliza saws CIO kufukuzana.
 
Nimegundua kwamba CDM hakuna kubebana...mwenzetu..mwenzetu hakuna.Ukiboronga wanakurudisha kwa waliokutuma (CCM).WELL DONE CDM.
 
Watu wanapiga hela chadema wanawafukuza majembe yahayowapinga wajinga tunashangilia tu. Hebu angalia uenyekiti wa kifamilia na ma baba mkwe! lol
 
Kama zitto alikuwa anafanya ujinga makusudi akifikiri uislam unaweza kuwa kinga yake mwambieni uislam hau guarantee impunity.
 
Dhambi ya ubaguzi haitakuacha ukiwa salama. Wote wakifukuzwa mwisho wa siku utafukuzwa wewe kwa kosa dogo sana. Pia kama umeamua kuwatumikia akina Mbowe na Slaa, weka mbali mke wako au usioe kabisa
Si afadhali mimi kuliko wewe unayewatumikia kina Lowasa,Chenge na mafisadi wengine ndani ya ccm.
 
bora tubaki na viongozi 67 waaminifu kuliko kuwa na viongozi 900 wanafiki ..wasaliti wanakubali kutumiwa maccm kama kondomu tutawafukuza wote bila kujali dini au kabila chezea chadema weweeee
 
Jenga hoja ya kuonesha kama kuna mahusiano kati ya UKRISTO NA CHADEMA.

1465980_596658873714763_1956733813_o.jpg
 
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.

HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA

MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Hii inaitwa kuondoa masalia bila kuwaonea aibu. Hebu tuambia maCCM wakitofautiana kinidhamu nini hutokea......k.m. Nd. Kolimba.
 
chama makini hakiogopi kuwachukulia hatua za kinidhamu watenda makosa,hivyo basi CDM kinastahili pongezi kwa ujasiri kiliouonesha!

Back
Top Bottom