Kweli ni ndogo ila sio ndogo kihivyo mana hapo tinapozungimzia posho ni 70000@17=1,190,000 ujue nilikuwa ktk jiji
Ushauri wako mzuri ila nilichokuwa napenda kujua ni kwamba hiyo sheria inamaanisha km nilivyoelewa mimi au hapana
Wanajukwaa naomba ufafanuzi wa kitalaamu kwa wenye ufahamu kabla sijaenda TUME YA USULUHISHI WA AJIRA.
Niliajiriwa na kampuni moja hapa Dar nikapewa mkataba nitafanya hiyo kazi kama miezi 10 baada ya hapo wakanipeleka mikoani nikafanya kazi huko kwa miaka 2 sasa nikaachishwa kazi huko baada ya...
Wanajukwaa naomba ufafanuzi wa kitalaamu kwa wenye ufahamu kabla sijaenda TUME YA USULUHISHI WA AJIRA.
Niliajiriwa na kampuni moja hapa Dar nikapewa mkataba nitafanya hiyo kazi kama miezi 10 baada ya hapo wakanipeleka mikoani nkafanya kazi huko kwa miaka 2 sasa nikaachishwa kazi huko baada ya...
Vyuo vingi qualification ya kujiunga na kozi ni point 4 ambzo ni principle 2 hapo ni hata ukiwa na D MBILI unafanya maombi ila hio kwa waliomaliza form six 2016 kuja huku
Kwani TCU inahusika na nni kwenye kuomba vyuo mwaka huu ukiachana na kitabu Chao cha mwongozo?
Maombi yote yanafanywa direct ktk chuo huko TCU kaangalie mwongozo tu na labda kama umesoma nje ya nchi ndio nenda huko kuverify vyeti ila kama umesoma bongo wwe fanya application yavyuo mana hiyo ndio...
Utakuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiria kama na wewe unawaz ujinga huu waliofanya serikali ni wa maana labda kama unamanufaa nao ila ujue hawataishia kwa mbowe ila kwa wote watakaoenda kinyume nao hata walipo ndani ya systemu muulize Dialo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.