Msaada: Interview za Cocacola Kwanza

ulongo

Member
Jun 17, 2016
20
7
Jaman kama kuna mtu amewahi fanya usail pale Cocacola Kwanza naomba anipe desa kidogo. Hivi interview zao huwa zinakuwaje?
Naenda fanya usail wa Resident Account Developer
 
Angalia job description Yao ..make sure unaielewa vizuri then try to relate it with your experience and skills...mwisho kabisa have confidence in yourself
 
kama ni writen kisha nafas ya RAD
soma soma ile ecomics two ya advance yote.
soma sana priduction.
demand and suply
 
Back
Top Bottom