Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,275
Kodi unalipia benki yeyote blaza hilo toka muda tu na kcb imeongezwa juzi tu hapo kabla ya hapo ulikua huwezi kulipa kodi za TRA kupitia KCB huo ni uwanja wangu hayo matango pori mlishane wenyewe.....na hizo kodi zinalipwa kwa kutumia control number na akaunti ya TRA ambayo haihusiani na bank yeyote .....hilo form hata kama limeandikwa kcb unaweza hata kwenda kulipia crdb,exim,nmb na wengine na hivohivo hata kama form imeandikwa benk ya kulipia ni NMB unaweza ukaenda nayo ukalipia hata kwenye tawi la kcb..........Hebu kapambane na ndugu zako wanalalamika huku TRA kwanini Wamehamishia akaunti ya malipo KCB, siyo tena NMB? Ni ufisadi baada ya Magufuli?