Recent content by Ukweliii

  1. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu za Wanawake Wengi Kuvaa Nguo fupi

    Haya ni mawazo yaliyokita kwenye mfumo dume, kila kitu kina tazamwa kwa faida, hasara hisia za wanaume!! kuzaa kwa mtu yeyote ni "statement" ya mvaaji jinsi anavyoona yeye. Inanipa raha sana nikiwa kituo cha basi na kuona "wide variety" ya uvaaji (Mitindo, rangi, "fabrics" itis just amazingly...
  2. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

    Ruzuku si hoja. CCM wana wanachama 5m kama kweli wanamapenzi na chama chao na sio.... kwa mwezi kila mmoja akichangia 1k yaani buku tu! fanya hii hesabu rahisi Jiulize kwanini haiwezi kuwa hivyo
  3. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

    Mandela alifungwa miaka 27... Mugabe Kenyatta (Hayati) Changarae Orodha ni ndefu sana.... Tuombe watu wawe na busara, mabadiliko yaingie kistaarabu
  4. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

    Kama TISS wanakazi wanayoifanya kwa maslahi ya taifa, mbona si wao wanaomshitaki Lwakatare wa CHADEMA? Au walimpa nondo Mwigulu ili apate ujiko.....!!!
  5. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Dowans ITV wasitishwa

    Kwenye viambatisho vya hukumu ya ICC, kama ilivyosajiliwa Mahakama Kuu ya Tanzania, zipo nyaraka zinazoonyesha kwamba mwanasheria aliyeishauri TANESCO kuvunja mkataba na Dowans – kwa kusema kwamba sio mkataba halali na kwamba hakuna madhara ya kisheria kuuvunja – ndiye huyo huyo pia...
  6. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania CDM: Epitome of Hypocrisy!

    Hivi unajua baada ya vikao vya Bunge kuahirishwa wabunge wa CCM na wa CUF hukutana katika vikao vinavyotangazwa na spika? wanamajadiliano gani yawahusuyo wao tu???
  7. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Je, hili suala la kushuka kwa viwango. Ukilinganisha na Bunge lililopita????
  8. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Ilimradi kuna kanuni imevunjwa, kukemea ni lazima. Vinginevyo "if you give them an inch they will take ya yard, if you give them a yard they will take a mile etc" Mh Spika hakuwa sahihi usi mtetee kwa njia hii
  9. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Bunge la Miongozo ya Spika, Jee Mhe, Spika ni Dhaifu, Dikteta au?

    Baada ya CDM kutoka bungeni kulaani mabadiliko ya tafsiri ya kanuni za Bunge. (Bunge la 10 kikao cha 2) Mh. Naibu spika alionekana kwenye TBC akiwa na Mh. Mbowe. Katika mahojiano hayo, Mh Naibu Spika alitoa tafsiri ya Demokrasia kuwa ni "DICTATORSHIP OF THE MAJORITY" Mimi sikubaliani na...
  10. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    PAMOJA na mambo mengine katiba mpya [B]ituletee VIONGOZI na kutuondolea WATAWALA[/B] MUNGU ibariki TZ
  11. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania CUF Waandamana Kuipinga DOWANS

    Nancy Tweed tafadhali sana usitusemee watanzania na wana-JF. Mimi, na nina uhakika wapo watu wengi, wenye kufahamu na kuamini kuwa waisilamu ni watu makini na wenye sifa zote nzuri. Ukiambiwa utoe sababu za kutowa-support nina wsiwasi kama unaweza. Si vema kutoa maneno ya kujuisha watu kwa...
  12. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Marrying a chagga

    Vivian na wengine kama wewe. Inaonyesha kuna ukweli ndani ya hili suala. Ninauhakika kama ingekuwa utani basi kusingekuwa na jazba. JIFUNZENI. MAMBO YA KIZAMANI HAYO
  13. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Kumega au kumegwa mwezini

    Masahihisho, anachotoa mwanamke wakati akiwa mwezini SIDAMU na haina uhusiano na DAMU
  14. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Kikwete ya Tuhuma za Uongozi Dhaifu Yasubiriwa kwa Hamu!

    Tuhuma za RASI kushindwa kufanya maamuzi ni nzito sana sana saaaaaana. Maana hiyo ndio maana ya uongozi ukishindwa hilo hufai hufai hufai.... Haijawahi kutokea kwenye historia ya TZ. Hata tu watu kuanza kufikiria Raisi aliyeko madarakani asigombee second term. Sijui anataka aambiwe nini tena...
  15. Ukweliii

    JamiiForums Tanzania Happy independence day

    Thanks for the history of TZ swahili coast. But its also important to recognize the mainland, the bantus, "Khoisan" and "nilo-hamite". Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu saaaana nilalapo nakuota wewe niamkapo ni kheri mama weeee HAPPY 48th...
Back
Top Bottom