Shinto
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 1,781
- 98
Nimefuatilia kwa makini mjadala ulikuwepo bungeni juu ya " Kambi rasmi ya upinzani" na mwenendo jumla wa maamuzi ya CDM, nimeridhika kuwa ama CDM wana-apply strategic stupidity au strategic hypocrisy!
CDM ilinufaika sana na kura za CCM kwenye bunge lililopita, kura ambazo ziliwaweza Slaa na Zitto kuwa wenyeviti wa kamati mbalimbali na hatimaye umaarufu walioupata.
Juzi nilimsikia Mbowe akisema kwa kuwa Hoja za HR na Kafulila zilitegemea kura za wabunge wa CCM kupita, basi vyama hivyo ni CCM-B! Huu ni unafiki na uzandiki mkubwa!
Pia walikuwa wanajenga hoja kuwa HR na Kafulila walikuwa wanataka uenyekiti wa kamati mbalimbali na kuwa washirika wao CCM wangewapa sapoti! Kinyume chake Zitto wa CDM alishinda kupitia kura za CCM haohao, hapa hawasemi kitu!
HR na Kafulila hawashinda kiti chochote, hii ina-invalidate allegation ya CDM juu ya vyama hivi kuwa ni washirika wa CCM!
Hivi viongozi wa CDM watawahadaa wa Tanzania mpaka lini? Hivi watanzania hasa wa JF lini watafunguka macho wakagundua unafikii huu?
This is my view, you are entitled to yours!