REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
Vipi unhamia lini Moshi manake nakuona unajitahidi kadri ya uwezo wako uonekane Chadema ndani ya CCM.
Mara oooh nimetishiwa mara sijui nini si uhame tuuuu!
Unadhani wote akili za kushikiwa?
Vipi unhamia lini Moshi manake nakuona unajitahidi kadri ya uwezo wako uonekane Chadema ndani ya CCM.
Mara oooh nimetishiwa mara sijui nini si uhame tuuuu!
Sasa huko ndio kutikisa?
Watu wameisha washitukia wachezeshaji wa karata tatu
kwani bado ni mwaka 1959.ruzuku mnafanyia biashara tu
Itakuwa kheri kama atapuuzwa anapata bichwa tu kumnukuu, i dont think kama anadeservechilosisi unawaaibisha wanawake wenzio kwa upeo wako finyu kama makinda
Umepona?
Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2013
Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.
Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.
Dr Slaa alisema anajua CCM imeisha panic..kwakuwa kwa ngoma hii wanaona wazi hawawezi kushinda 2015!
Hivyo watafanya mambo mengi ya ajabu sana wakiwa wanaaga!!
Pamoja sana CHADEMA!!
Unadharau sana wanawake eeh?
Ulizaliwa na nani mwenzetu?
Mkuu Molemo sasa hivi napata imani zaidi kuwa CDM inaelewa nini watanzania wanataka kutoka kwao. Jambo kubwa na msingi ni CDM kuendelea na programu ya kuwafikia watanzania wote kupitia sera yake ya majimbo kwa njia ya uzinduzi wa kanda na kusimika viongozi makini wa kusimamia kanda hizo,Kwa kweli imekuwa gumzo kuu hapa Dodoma.Dr Slaa anasubiriwa kama mfalme.Pia watu wana hamu kubwa ya kuwasikiliza wabunge wa Chadema hasa Tundu Lissu na Godbless Lema.