Wakuu nimekutana na umati mkubwa wa wafuasi wa chama cha CUF ukiandamana kuelekea viwanja vya Kidongo Chekundu. Haya maandamano kwa mujibu wa matangazo wanayopita wakiyatoa ni kwa ajili ya kupinga malipo kwa kampuni tata ya DOWANS.
DMussa,
Huyu mkurugenzi mpya wa utalii ni ndugu yako au muna uhusiano wowote?
Wache CUF waandamane leo...sisi tunasubiri maandamano yatakayoitishwa na chama makini au JF!