Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

Hivi Mama Spika anapomuomba waziri ajibu kwa kifupi sana huwa anamaanisha nini?
Binafsi naona maana yake ni kuwa ama waziri ajibu haraka kwa sababu muda ni kidogo, au waziri ajibu kwa kufunika hata asipoeleweka au swali lililoulizwa ni la kipuuzi hivyo waziri aburuze tu na atalindwa.
Naomba mchango wenu tafadhali.

Kuwa na mama kama yule dah nia aibu maana hana busara hata kidogo, yule ni Anne Makinda... sio Mama
 
Kazi kweli kweli huo ni mwanzo tu more drama coming! Utasikia waheshimiwa ulizeni swali swali tu.....hakuna haja ya kutoa hutuba. Ni ukweli kuwa maelezo yakiwa malefu sana yanawezakupotosha maana ya swali. Lakini kuna haja ya kutoa maelezo mafupi ili swali lilete maana.
 
makinda amepimwa amepwaya na ataendelea kupwaya kwa wa tz ila ataendesha bunge kwa matakwa ya waliomuweka (mafisadi). Ana vijimaneno vya mipasho anatanguliza maslahi kuliko wananchi, one thing is clear although you have just started, you have made plenty of mistakes and you will keep doing mistakes, and history will judge you that you did us wrong.
 
Hivi Mama Spika anapomuomba waziri ajibu kwa kifupi sana huwa anamaanisha nini?
Binafsi naona maana yake ni kuwa ama waziri ajibu haraka kwa sababu muda ni kidogo, au waziri ajibu kwa kufunika hata asipoeleweka au swali lililoulizwa ni la kipuuzi hivyo waziri aburuze tu na atalindwa.
Naomba mchango wenu tafadhali.

Uswahilini tunaita KANYAGA TWENDE
 
Makinda tumia akili zako na busara zako kuendesha hili bunge letu tukufu,
Na kwa kufanya hivyo utaheshimika, Usifanye mambo yanayoleta tafsiri ya Wanawake hawawezi.
 
Fareed nakuhakikishia ukitaka spika afate hiyo miongozo ya kipuuzi kila uchao bunge halitafanya kazi yake.
Si kwa wabunge wa cdm wala ccm wote wamekuwa na kukamiana kusiko na msingi, wabunge wamefikia hatua wanasikiliza wenzao sio kwa umuhimu wanaosema ila watateleza wapi ili waombe mwongozo. bunge haliwezi kuendeshwa kwa miongozo bana, spika anamamlaka ya kupima na akiona ni kupoteza muda anaipotezea

Ilimradi kuna kanuni imevunjwa, kukemea ni lazima. Vinginevyo "if you give them an inch they will take ya yard, if you give them a yard they will take a mile etc" Mh Spika hakuwa sahihi usi mtetee kwa njia hii
 
Hivi Mama Spika anapomuomba waziri ajibu kwa kifupi sana huwa anamaanisha nini?
Binafsi naona maana yake ni kuwa ama waziri ajibu haraka kwa sababu muda ni kidogo, au waziri ajibu kwa kufunika hata asipoeleweka au swali lililoulizwa ni la kipuuzi hivyo waziri aburuze tu na atalindwa.
Naomba mchango wenu tafadhali.

Je, hili suala la kushuka kwa viwango. Ukilinganisha na Bunge lililopita????
 
Anamaanisha ajibu swali sio kutoa hotuba, wengine badala ya kujibu maswali wanatoa hotuba hadi jibu linakuwa halieleweki.
 
Hataki wampotezee muda kwa majibu marefu!!!Wanamchosha!!!
 
Fareed nakuhakikishia ukitaka spika afate hiyo miongozo ya kipuuzi kila uchao bunge halitafanya kazi yake.
Si kwa wabunge wa cdm wala ccm wote wamekuwa na kukamiana kusiko na msingi, wabunge wamefikia hatua wanasikiliza wenzao sio kwa umuhimu wanaosema ila watateleza wapi ili waombe mwongozo. bunge haliwezi kuendeshwa kwa miongozo bana, spika anamamlaka ya kupima na akiona ni kupoteza muda anaipotezea
Kweli bwana hasa hao chadema imekuwa balaa chama chenyewe cha wachaga
 
hayo tuliyategemea sana kuyaona, kinachofanyika kwa sasa ni kukamilisha tu utabiri uliotolewa kipindi kile
 
Fareed nakuhakikishia ukitaka spika afate hiyo miongozo ya kipuuzi kila uchao bunge halitafanya kazi yake.
Si kwa wabunge wa cdm wala ccm wote wamekuwa na kukamiana kusiko na msingi, wabunge wamefikia hatua wanasikiliza wenzao sio kwa umuhimu wanaosema ila watateleza wapi ili waombe mwongozo. bunge haliwezi kuendeshwa kwa miongozo bana, spika anamamlaka ya kupima na akiona ni kupoteza muda anaipotezea
Mkuu sometimes huwa napata shida sana kukuelewa..., Hivi aliyeanzisha kuleta hizi issue za kufata miongozo ni nani?..., mbona wakati wa Sitta haya mambo yalikuwa hayatokei?

Mkuu acha ushabiki usiokuwa na tija ndio maana Mdee alisema kama kudhalilishana kupo basi aseme ili iwe ruksa.

Huwezi kumtetea mtu kushindwa kukimanage kitu ambacho ni yeye mwenyewe ndio alimua kukianzisha...., Inabidi aanze kutumia common sense sababu hii imeshakuwa Chaos
 
anajua mawaziri ni vilaza na majibu yao ni ya kufikirika mno, hivyo wakianza na hotuba ndefu hata mwenye swali anasahau aliuliza nini
Anamaanisha ajibu swali sio kutoa hotuba, wengine badala ya kujibu maswali wanatoa hotuba hadi jibu linakuwa halieleweki.
 
Inaamana hata CCM kama hawako kwenye 18 za EL na RA inakula kwao au? Tusubiri siku RA au EL wakiwa wanachangia, ili tuone her response and attitude...................
 
Back
Top Bottom