Recent content by Ukweli1

  1. Ukweli1

    English learning thread

    I second you.
  2. Ukweli1

    English learning thread

    Kama unataka kusema nimekuwa nikiandika ila unamanisha sitaandika tena unatumia I have written hii ni Present Perfect Tense, ila kama unasema nimekuwa nikiandika na nitaendelea kuandika unasema I have been writing hii ni Present Perfect Continuous tense ya kwanza inaongelea kilichofanyika na...
  3. Ukweli1

    Donald & Diamond Platnumz - Wangu - Official Music Video

    Mimi sio mpenzi wa secular musics ila mafanikio ya Diamond yananipa raha na kujifunza kila siku. Diamond ni fundisho kubwa kwa watanzania, kuwa haijalishi background yako, jitihada zako katika kipaji ulicho nacho zitakutoa tu, Kijana anajichanganya tu na anazid kuwin crowd kubwa ya supporters...
  4. Ukweli1

    Tunaotafuta scholarships za masters degree nje ya Africa tukutane hapa

    Graça Machel Scholarships for Women We are proud to offer Graça Machel Trust scholarships for Southern Africa's future women leaders. The application process is the same as for Canon Collins Scholarships for Postgraduate study in South Africa. For further information and to apply, please...
  5. Ukweli1

    Shirika la Ndege la Ethiopia limenifanya nateseka

    Sad pole sana mkuu, ila ninaomba ufanye hivyi kama unakumbuka duka ulilonunua mzigo na tarehe kuna watu wengi sana wanaenda Dubai andika barua ya kuelezea story yako tuma copy ya passport maana vitabu vya receipt vinacopy waombe wakupe certified copy ya hiyo copy, kuna wakati rafiki yangu...
  6. Ukweli1

    Inauma sana, Mtoto wa jirani amefariki baada ya kung'atwa na mbwa kichaa

    hahahahhhaha labda computer yake ina virus
  7. Ukweli1

    Wanawake msikurupuke kutukana watu wakipiga simu

    kuna nguvu na hekima katika kutulia Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe Mithali 9:13, 14:1
  8. Ukweli1

    Wanawake msikurupuke kutukana watu wakipiga simu

    sio ajabu huyo jamaa alifika huko kwingine na kuomba msamaha tena, kuna wanaume wameshikika
  9. Ukweli1

    Afande Sele kufata nyayo za Mzalendo Zitto, kukataa posho akiwa mbunge

    "One of the reasons people hate politics is that truth is rarely a politician's objective. Election and power are." Cal Thomas
  10. Ukweli1

    Mnyika amshambulia Zitto mtandaoni, Vita yao sasa ni zaidi ya Siasa

    Ninauhuru wa kuandika ninachotaka na una uhuru wa kuamini unachotaka ZK sijakutana naye barabarani ninafahamu alimaanisha nini alivyoandika alichoandika, sasa kama wewe umezoea kunywa uji mpaka watu watajane majina ndio unaelewa basi pole sana.
  11. Ukweli1

    Mnyika amshambulia Zitto mtandaoni, Vita yao sasa ni zaidi ya Siasa

    ZK kajibu zamani saa limepita labda kama kafuta sasa nenda twitter usome.
  12. Ukweli1

    Mnyika amshambulia Zitto mtandaoni, Vita yao sasa ni zaidi ya Siasa

    hao na Siasa zao za twitter, kama kweli wanalenga kukomboa mtanzania hawawezi kuwa wanacomplicate vitu vidogo, kuna mambo makubwa, watu hawana ajira, wakulima hawana dawa, watu hawajui hata sera za vyama vyao, badala ya wao kuelimisha jamii wanashinda kushambuliana twitter mnaboa wote wawil JM...
  13. Ukweli1

    Naunga mkono kufukuzwa waafrika Afrika kusini

    nyie wawili kama sio mtu mmoja, mnahitaji msaada wa haraka sana, mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia mauaji ya mtu mwingine hata kwa sababu yeyote ile, hivyi vifo vinasababisha ongezeko la watoto yatima, wajane na mengineyo mengi. Kumbuka wanaokufa katika hili wanatoka katika familia kama...
  14. Ukweli1

    Deaths in South Africa as mobs target foreigners

    hiyo sio hofu ya foreigners "xenophobia" ila ni hofu ya waafrika wenzao "afrophobia" Mungu ibariki Afrika
  15. Ukweli1

    Deaths in South Africa as mobs target foreigners

    Tatizo la wasouth wamesahau kuwa ni waafrika ndio waliowasadia wakati wakiwa na matatizo na wazungu, leo wanawakumbatia wazungu wanapiga wale waliowasaidia. "Shukrani Ya Punda Ni Mateke"
Back
Top Bottom