Mtoto wa tandale kajizoelea zake viuno atakua kapata tabu ha ha ha ila katafta mahali akakata kiuno kidogo
Yah mkuu hii type ya music kikwetu huku watu hawaelewi sna lkn kama ushawah kuwasikiliza Liquideep utaelewa huu mziki ni mtamu sna na South wanaupenda sna Diamond kaimba vzr BigUp.
Huu muziki nausikiliza sana, ata kwenye show ya MiCasa hapa bongo nilienda.. Namkubali pia Zahara.
Heeh mungu wangu yani sijawahi ona wimbo na collabo bovu kama hili, hasa sauti ya Mondy haisikiki vizur, yani kiufupi sijaelewa kabisa huu wimbo huyu jamaa stress zinamuua kwakwel mbona anaporomoka kiasi hiki wakuu? Huyu siyo yule Mondy wa Number 1 nayemjua mimi sema mashabiki mandazi wanasifia ujinga lakin binafsi sio siri najuta hata kumaliza bundle langu kuangalia video mbovu kama hii, heri hata PNC au mrisho mpoto kuliko huyu jamaa

Team monds tunasababu bilioni za kuamini kuwa Mond is capable of changin'..xo hauna budi kukubali mabadiliko..?!Video classic, mi sijaupenda wimbo kwani sijamzoea mondi kwenye miondoko hiyo. Ila ndio aina ya nyimbo za Donald.