NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
cc Agnes Gerald Masogange, Kinje, Bushoke.
Wanadai wageni wengi sana! Alafu wakhosa walipiga kisu mnaija vurugu zikaanza hapo
durban fujo zmeanza leo asubuhi
Tuko pamoja kaka katika hili,Huwezi kuja nyumbani kwetu.Nikakupokea vizuri na ukafanya kazi vizuri tu then ukaanza kunibagulia kwetu utanijua ni nani.Wahindi nchi hii wametufanya mazoba ni kama tumeshawauzia kila kitu "Wahindi ndio wamiliki wa nyanja zote za uchumi tena kupitia RUSHWA......."The Bleiz said:Nawachukia wahindi wanatudharau sana, chama chochote kikija na sera nzuri ya kuwaadabisha hawa watu nitakipigia kampeni.
Mkuu kuna video zinatisha sana,jamaa hawazioneshi cheki hii https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...daBZ4lz-xO9gzn3Uw&sig2=X7RjDDcUD5f2Q5KVl5wAnQMh ingekuwa ni somalia hii kitu ingepewa kick sana
Hivi hawa Wasouth wamesahau kuna ndugu zao nchi zingine Afrika. Nimefuata mitandao zao kule Facebook wanaongea uharo aisei.
makaburu watakimbilia wapi ikitokea wamevamiwa?Hawa wamevurugwa, nilidhani hizi fujo wangewafanyia makaburu ambao wamewaburuza mamia ya miaka.
Nimewadharau sana hawa jamaa.
kama makaburu wameandaa option na mikakati ya kukimbia ikitokea wamevamia na hawa jamaa. hadi jinsi watakavyoondoka makundi makundi.
Serikali iingilie kati kupitia ubarozi wetu na kutafuta jinsi ya kusaidia