mzee wa funny
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 296
- 65
Acha tu....
Hakuna cha kuacha mpaka mkome Wenye tabia ya kubweka kama mbwa hahaha natania!!!.
Acha tu....
umeelewa nlichoandika lakini au umekuja tu kinyume nyume????Hakuna cha kuacha mpaka mkome Wenye tabia ya kubweka kama mbwa hahaha natania!!!.
Ahsante mwanya, Hela zilikua usd 3210 na elfu 30 za tz,nimempa hayo matusi yalitosha.
Majibu ya huyo dada ni kielelezo cha mambo anayopitia katika ndoa yake. Mambo yamemkaba hawezi ku reason tena. Ingekuwa hakuna maruweruwe katika ndoa yake, asingejibu namna hiyo. Hata unyasi anadhani ni nyoka. Pamoja na kumlaani, ni wa kuonea huruma.
Mara zote sie wanawake tuna roho mbaya,
Unatukana mtu hata usiyemjua;
Lakini ulifanya tu kosa moja,
Ungefungulia kule kule ulikookota, uchukue chako vyake mwachie huko huko;
Dunia hakuna wema kabisa.[/QUOTE
Apana Mkuu sio kosa kurejesha mali ya mtu na amini wakati nimeokota hiyo hela nilikua na elfu 40 tuu ATM card yangu ilikua haifanyi kazi nimekwenda bank wamenambia itachukua 5days nikasema sawa,nikaingia super market nikanunua vitu kidogo nataka kuingia ndani ya gari Hamadiii pochi hiyo.......
Hajanipa na siwezi kumlaumu sababu nimemwambia ahesabu pesa yake kahesabu kasema sawa mie nimeondoka,nimemwacha ameduwaa na hakua na number yangu ya simu ..US D 3,210 zaidi ya 6M! Be blessed. Katika hizo hajakupa hata ka US D 1,000 kama shukurani?
Halafu yule Jamaa anaonyesha kua gentle man sasa sijui upole wake ndio yule mkewe anachukua advantage,lakini haya watajijua uko nyumbani akifika na simu kama ataitia chooni au ndani ya sufuria ya mchuzi.sio ajabu huyo jamaa alifika huko kwingine na kuomba msamaha tena, kuna wanaume wameshikika
Kwa kichambo alichonipa inaonyesha wazi hajiamini hata robo,yani kaongea yeye kacheka yeye katukana yeye,yani anahema pumzi juju nilisema hizi ndoa nyengine hizi....Majibu ya huyo dada ni kielelezo cha mambo anayopitia katika ndoa yake. Mambo yamemkaba hawezi ku reason tena. Ingekuwa hakuna maruweruwe katika ndoa yake, asingejibu namna hiyo. Hata unyasi anadhani ni nyoka. Pamoja na kumlaani, ni wa kuonea huruma.
Hajanipa na siwezi kumlaumu sababu nimemwambia ahesabu pesa yake kahesabu kasema sawa mie nimeondoka,nimemwacha ameduwaa na hakua na number yangu ya simu ..
Kwa kichambo alichonipa inaonyesha wazi hajiamini hata robo,yani kaongea yeye kacheka yeye katukana yeye,yani anahema pumzi juju nilisema hizi ndoa nyengine hizi....
Ana mgogoro na hajui njia yaku solve.Huyo lazima ana mgogoro mkubwa kwenye ndoa yake. Uwezo wa kufikiri umeathiriwa na mgogoro huo!
shosti nilicheka alipo sema mimi nimeasirika na wewe pia umeasirika hapo tuu ndio nikajua huyu sie kabisa.....
Ahsante mwanya, Hela zilikua usd 3210 na elfu 30 za tz,nimempa hayo matusi yalitosha.
Sasa kupoteza hivyo vitu na kuathirika kuna connection gani? Au alihisi umehongwa na bwanake?
nikwambie ukweli mwanzo nilitaka kufanya hivyo lakini baadae nikaona nikupoteza mda wangu kama hajafunzwa heshimaungemwambia huyo jamaa aje achukue mzigo wake ILA TU aje na huyo demu.., afu unawapa tu bila kusema kitu...., hawezi rudia tena
najitahidi shosti siunajua tuna watoto ndugu sasa ukifanya baya ujue litakurejea,na hujui yule jamaa pesa yake au kakopauna moyo aiseee....... kama yule dada wa airport nigeria vile