Recent content by UGOKO MKAVU

  1. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua processor ya simu na kuijua simu ghushi(AndroidOS)

    Kaka kama unataka kununua simu mpya dukani, je muuzaji ataruhusu u_perform hizo test?
  2. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

    inaonekana ulikosa admission UDSM, hasira za nn mjomba?
  3. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya MMU 2014 ni nini?

    "Mapenzi sio vita, tusijitoe mhanga kama akina mushi" - Mapenzi bila bastora inawezekana
  4. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza Kingereza cha kuongea na kuandika

    Ukonga majumba sita ukifika ulizia mtu yeyote kwa Ras Simba au jina la kituo chake "SI UCHAWI"
  5. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza Kingereza cha kuongea na kuandika

    Rudi kasome tena!!! Hakuna kiingereza cha 2 year ago
  6. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Unaionaje hii business idea

    Hii kitu nilishawahi kuiona kwenye muvi ya shanghai kiss Fanyia kazi wazo hili, najua mwanzoni itakuwa ni ngumu kuiendesha lakini utaendelea kuboresha kutokana na mahitaji ya wateja wako. Kuna watu walianza na pub lakini leo hii wameongezea na club eneo hilo hilo. Weka wazo lako ktk vitendo...
  7. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Pombe na wanawake chepi ni chanzo cha humasikini?

    Chepi > kipi humasikini > umasikini huludisha > hurudisha yahaa > ya haya Nadhani ulikuwa na nia nzuri tu ya kuandika hii mada, jaribu kurekebisha hayo maneno uliyokosea hapo juu. Nina wasiwasi huenda ulikuwa "pombe" wakati unaandika huu waraka.
  8. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji wa Fast & Furious, Paul Walker afariki dunia kwenye ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 40

    Sad news, RIP my favorite actor! Pole sana Vin Diesel
  9. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    Ukiona mtu anakulalamikia sana na anatumia muda mwingi kudadisi udhaifu wako ujue huyo HAJIAMINI au UMEMZIDI KETE "The difference between who you are and who you want to be is what you do, and what you have to do to get where you want to be may not be pretty or may not come easy"
  10. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa kufanya kazi SOUTH SUDAN-Nitoeni wasiwasi

    Mfano wa watz waliowahi kufanya kazi huko ni pamoja na marehem Mushi (mchumba wa Ufoo Saro) Kwakweli hili swali ulitakiwa kujiuliza wewe binafsi kabla ya kuapply Kwa kukusaidia ni vema uende ubalozi wa Sudan hapa nchini utapata maelezo mazuri tu au ikibidi nenda uhamiaji ukaulizie Kila...
  11. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sio mbaya, bado tunaongoza kwenye kundi
  12. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara matatani kwa Kujipiga Risasi mwenyewe baada ya Kupigwa Kibuti na Mkewe,Tabora

    Ngoja apone afu tumuulize huyu mhusika. Akina Mushi & Munisi ndo wanajua sema kuwapata ndo ishu
  13. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Nani yuko macho tupige stori?

    Mtoa mada twende buguruni
  14. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara matatani kwa Kujipiga Risasi mwenyewe baada ya Kupigwa Kibuti na Mkewe,Tabora

    Unacheza na utamu wa ugali wewe... Jamaa alikuwa analinganisha kati ya maumivu ya risasi na ya mapenzi
  15. UGOKO MKAVU

    JamiiForums Tanzania Keyboard Shortcuts For Navigation In Facebook

    Asante kaka "Sharing is caring" - chief-mkwawa
Back
Top Bottom