OGS atakuja kufukuzwa Man utd.
Kwasababu akishinda mechi,Sifa zinaenda kwa wachezaji..Akifungwa;Analaumiwa yeye
Sijui kwann Hapati sifa anayostahili
Lakini nayeye nae aache kuwa kama Roboti,anakariri..Anakosa plan B ya kupata ushindi.Tangu amekuja UTD timu yetu imekuwa inapata shida sana...
Kuna taarifa kwamba SHIEFIELD UTD wanaweza kuwakosa wachezaji wao karibu 9 kwny mechi ya leo
Tunaweka full mkoko tunamaliza mechi kipindi cha kwanza then tunapumzisha wachezaji wetu kwa ajili ya arsenal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.