Recent content by udevanny

  1. U

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Nunua Passo, Agiza kutoka nje achana na kwa mtu.. mafuta inanusa tu kama hauna mizunguko mingi 20k kwa wiki,, pia service inategemean na uendeshaji wako khy USIOGOPE
  2. U

    Certification of birth certificate

    Habari WanaJamvi,, hivi hizi affidavit of birth zinatakiwa kuwa certified.
  3. U

    Azam Antena

    Sijakuelewa
  4. U

    Azam Antena

    Habari Wakuu. Ivi king'amuzi cha Zam cha Antenna hakisumbui channels zake?
  5. U

    Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

    Mwanamke hawez kuSex kwa Banat mbaya. Labda kam amebakwa. Ko kukubal kumvulia nguo msela ni amempenda mshikaji,, ninachoona Mimi msela aatakua amemtolea nje thus y anarudi kwako. Mimi sizani kam kweli atakua anakupenda,, huenda amekuona weak sana. Ni bora ukamuacha tu ukaruhusu moyo kupenda...
  6. U

    Elimu ya Uraia na Haki inahitajika sana Tanzania!

    Uraia na haki ndio kupinga uzalendo wa kuchangia Kodi ya nchi yangu ili serikali yangu iweze kunitengenezea barabara nisafirishe mazao yangu kwa uzuri nikauze mijini?
  7. U

    SoC01 Elimu bure iondolewe tupunguze tatizo la ajira

    Kwanini tutumie fedha ya ebm tu? Kwanin tusipunguze fedha za kuwalipa wabunge tukawalipa hao walimu wapya? Ili tuwe na wasomi wengi wenye tija?
  8. U

    SoC01 Elimu bure iondolewe tupunguze tatizo la ajira

    Viongozi wetu wawe wazelendo, walipwe fedha kidogo ili na wengne waajiriwe waongeze nguvu kuijenga nchi,, pia mifumo ya elimu kwanzia chini iboreshwe Wasomi wawe wanauwezo was kujiajiri.. Educating Child to live a better life, not to be employed
  9. U

    SoC01 Elimu bure iondolewe tupunguze tatizo la ajira

    Mi nazani katika taiga swala la Elimu linafaa kuwa kipaumbele cha kwanza, pamoja na utafiti wako kuitoa EBM kutapunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya wasomi nchini mwetu, idadi ya wanafunz waliokuwa wanajiunga kbla ya ebm na sasa ni tofauti kubwa. Apo utagundua umuhimu wa ebm. Luna namna nyingi...
  10. U

    Luanzari Technical College

    Okay.. Asante
  11. U

    Luanzari Technical College

    Asante Boss. Hzo bajaji unapanda kutokea stendi?
  12. U

    Luanzari Technical College

    Habari wanaJF, naomba kama Luna mtu anaufahamu na Luanzari technical college iliyopo Tabora Mjini anijuze details zake.
  13. U

    Taratibu za kukodi shamba zipoje?

    Habar Wapendwa.. Naomb kuuliza iv taratibu za kukodi shamba zipoje? Nataka nikodi shamba eka mbili mikese sa unaweza jikuta unapewa shamba lenye migogoro, au unatapeliwa.. Na je ikitokea ivo unatakiwa ufanye nin? Natanguliza shukrani zangu
  14. U

    Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

    Warumi 6:23 Mshahara wa dhambi ni Mauti.. Sio kwamba anafaidka ila ivo ndo ilivyo, ni kama docta akwambie usipokunywa mseto utakufa sio kwamba anafaidika ila ivo ndo ilivyo.. Mungu anatupenda sana na hataki tuangamie ndo maan anaandka katka warak wa kwanza wa yohana 2:1 watoto wangu wadogo...
Back
Top Bottom